looking for love by Darasa ft Mbosso

 

Verse 1

Mapenzi yalianzia 10
Kazi kubwa ni ku maintain
Nilishatoka na dem Magomeni
Tukaja kumwagana Mikocheni

Nika repeat again and again and again
Hakuna nilichogain zaidi ya pain
Eeeeeiii aaaaaah
Si mkae mtulie

Ninaiweka rehani yoho yangu mimi
Penzi ni mitihani kila siku mimi
They told me love is work of magic
I have been praying for something like this

Wait and wait sana, make so many wish
Usiku na mchana I make so many wishes
Some people told me that it does not exist
Unaota ndozo za mchana vipi?

Kunywa maji kwanza, pumzika kwa kiti
Na uvute pumzi, that love doesn’t exist

Pre-Chorus

Nimeenda West Africa, I’m looking for love
They told me love does not live here
I have been to South and North desper for love
Napishana na wapita njia

East and Central Africa, wapi kuna love?
Kila naye muulizia
I close around the world seeking for love
They told me love don’t live here

Chorus

Niseme nini

 sina bahati
Ama mambo hayajanyooka
Nayemtaka simpati
Labda tatizo ni nyota

Ama usela, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera

Usela, usela
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera

Verse 2

Kutafuta pesa sishindwi
Kwa njia zote hustle nazijua
Ila mapenzi ndo inayonizuzua
Na yakipanda kichwani inanisumbua sana

Nakunywa pombe kali
Huko ndani maini inaungua
Navuta sigara
Nachoma kifua

Yote mapenzi ndo
Inanisumbua sana

Bridge

Oh, mapenzi kilio
Nenda waulize wenzio
Ni mdudu wa sikio
Akikung’ata husikii la yeyote

Ohh, kilio
Nenda waulize wenzio
Ni mdudu wa sikio
Akikung’ata husikii la yeyote

Pre-Chorus

Nimeenda West Africa, I’m looking for love
They told me love don’t live here
I have been to South and North desper for love
Napishana na wapita njia

East and Central Africa, wapi kuna love?
Kila naye muulizia
I close around the world seeking for love
They told me love don’t live here

Chorus

Niseme sina bahati
Ama mambo hayajanyooka
Nayemtaka simpati
Labda tatizo ni nyota

Ama usela, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera

Uselaa, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera

 

rara by Ibraa

 Aaaahh chingaa

Ati my sinyorita kisura wange
Nilikuonaga tu unapita ilikuwaga Sunday
Na hizo chuchu saa sita zikanipa mawenge
Maana ulivyo tepetepe we sio supu makange, makange
Nika wish one day eeh eeeh eeh
Nikuite sweetheart sweet love ooh ooh ooh
Me minawish one day eeh eeh eeh
Nikumbate like my pillow ooh ooh (mmmh)
Nikikuita baby unanikonyega
Unakuja kama kuku allietaga
Sweet love, mmmh
Lakuvunja chaga konde alisemaga
Tucheze na kachilii saga
Sweet love
Kisha nikumbembeleze raraa raraaah
Raraa raraaah uuuh uuuh
Raraaa raraaah
I have something special for you
Raraaa raraaah
Raraaa raraaah
Raraaa raraaah
I have something special for you, yeah
Totoro toto toooooh (toooooh ah)
Totoro toto toooooh (toooooh ah)
You are my salary you not legendary, supernaturally
Bebi oh, bebi oh mmmh bebi oh
Zambia zanzibar, tanga Somali
How much you want to spend my money, money oh (my money)
You′re so sweet, I will call you geneviva
Wewe nipende tu ivyo ivyo
Sweeeeet iye
Raha ya mapenzi hayana likizo oh
Nukupe sindikizo oh
Sweet sweet love
Kisha nikumbembeleze raraa raraaah
Raraa raraaah uuuh uuuh
Raraaa raraaah
I have something special for you
Raraaa raraaah
Raraaa raraaah
Raraaa raraaah
I have something special for you, yeah
Aaaaaaaaah
Aaaaaaaaah

zali by Dully Sykes ft Ali Kiba Zali

 

[Instrumentals Intro: Dully Sykes & Alikiba]
Mbwwoke!
Di gyaldems killer
Yoh
Mawazo, hey
(Alright)
Hey

[Verse 1: Dully Sykes]
Mawazo unakesha ghetto
Usiku na ma paka
Kisa mapenzi ama niunajinyima?, ah
Moyo una matatizo
Unapaparika, pa-pah
[?] Moyo we Shirima, ah

[Pre-Chorus: Dully Sykes]
Kimara, 'Temboni mbali
Ilala' na nyumba kali
Na moyo kwangu unajali
Kuwa na mimi ni kama zali

[Chorus]
She sound like pampa-pira, pampa-pira
Pampa
Pampa, pampa, pampa, pampa, pam-pah
She sound like pampa-pira, pampa-pira
Pampa
Pampa, pampa, pampa, pampa, pam-pah

 

[Instrumentals]

[Verse 2: Alikiba]
Yup!
Endelea kuringa, ringa
Wenzako wananitaka
Sitaki kuwataja kwa majina, ah
Nipe moyo, nipe roho
Nikusajili BASATA
Ili nikija kutoa nyimbo wasije wakanizima

[Hook 1: Alikiba]
Kimara, 'Temboni mbali
Ilala' na nyumba kali
Na moyo kwangu unajali
Kuwa na mimi ni kama zali

[Chorus]
She sound like pampa-pira, pampa-pira
Pampa
Pampa, pampa, pampa, pampa, pam-pah
She sound like pampa-pira, pampa-pira
Pampa
Pampa, pampa, pampa, pampa, pam-pah

[Instrumentals]

[Outro: Alikiba]
Kimara, 'Temboni mbali
Ilala' na nyumba kali
Na moyo wa kwangu mali
Na wewe ndio nnaye kujali