Artists: Grace Matata
Language: English, Swahili
Writer: Grace Matata
song: wimbo
song: wimbo
Melody tamu nmepata na siishi hamu mmh kuimba aaha
Wimbo adimu mmmh kuupata na ninafahamu nmeshinda aah
na inaenda taratbu inatibu Roho yangu yatulia inajua aah
nimepata nimepata aah .nimepata nmepata aah
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Sitochoka kukuimba we tena na tena aah
Sitochoka kukuimba we
Sitochoka kukuimba we tena na tena aah
Sitochoka kukuimba we
Wanituliza kama gitaa uwachangamsha aaah wimbo wangu
tenzi nzur ajabu maneno ya dhahabu,na sipati tabu fumbo na jawabu
unanipa usingizi kati ya kelele hizi
me najua nimepata nimepata aah nimepata nmepata aah
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
yererere uuh uuh wimbo wangu uuuh uuuh wimbo
yererere uuh uuh wimbo wangu uuuh uuuh wimbo
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Wewe nii wimbo wangu weeewe niii
Sitochoka kukuimba we tena na tena aah
Sitachoka kukuimba wee
Sitochoka kukuimba we tena na tena aah
Sitachoka kukuimba wee
No comments:
Post a Comment