(verse1)
Huna skendo wala maringo
Acha nijidai jidai jidai ai ai
Kwa wako upendo
wengine kando
Tupendane tufurahi furahi furahi
Tabia na mwenendo
Mpaka kwa vitendo
Ukiniacha me ntadie ai ai ai
Ooh maji ya shingo nimefika ukingo
kweli I don't lie ie ie
ooh tubabajoro eeh baba ee
afyenga afyenga
Tumefika leo kwasababu yako baba
tubabatoro eeh baba ee
i thank God
i thank God
Tumefika leo kwasababu yako baba
Ooh me and you
Ooh me and you
Just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
wherever me and you
Penzi lake ulimbo
Tabia nzuri na umbo
Mpaka najihisi
nafurahi
Pesa kwake sio fimbo
Hadanganyiki na bingo
Wengi kawatoa nishai
Nimeshamwimbia na nyimbo
Ye dereva me utingo
Kunipenda me sishangai
Chumbani mjuzi wa mambo
Ye ndio ala me chambo
Akinipa sikinai
ooh tubabajoro eeh baba ee
afyenga afyenga
Tumefika leo kwasababu yako baba
tubabatoro eeh baba ee
i thank God
i thank God
Tumefika leo kwasababu yako baba
Ooh me and you
Ooh me and you
Just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
wherever me and you
good job.. kwa kama mimi ninayesikiliza afu sisikiagi wanaimba nini..
ReplyDeletethis is a big help
Kudos Man
Ila hapo kwenye Afyenga Afyenga umetupeleka chaka, muwe mnasikiliza vizuri. Hapo anasema I thank God .... I Thank God ......
ReplyDeleteIts "to baba God eh baba eh.." and "i thank God" Naona u kind of got it wrong,, they were useful though!
ReplyDelete