(Intro)
Hasara baba
Yule,sadick baba Yule,Shukuru baba Yule
Baba baba
uyo
Baba baba
uyo
(verse1)
Ale baba uyo
katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Ale baba uyo
katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Tusipate
tabu ya kupeta mchele
Ale baba
umerudi nipe soda nikaringishe uko nje
Amina Salai
waringie na mimi niringe nitambe
Ila baba
mama na mjomba jitu wamepigana
wamemwaga
maji kitandani kwako na shuka wamechana
Ila baba
mama na mjomba jitu leo wamepigana
wamemwaga
maji kitandani kwako na shuka wamechana
nililia sana
aah ooh
Dad kwan
shabani mwanao
analaliaga kifua cha mama kwani na yule mwanao
acha anko
mangi Yule wa banda la video
anapenda kujaga usiku kwani Yule ni nduguyo
tena dad
ukitoka na mangi anaingia
ananiletea bazoka na pesa ya kutumia
ila shabani
simpendi hapendi kunipa hela
kazi kumpiga
mama na pesa anachukua
wanakaa sisi
wakionana kwenye mabano wanachofanya
atanipiga nikikwambia alishasema
wanakaa sisi
wakionana kwenye mabano wanachofanya
atanipiga nikikwambia alishasema mama
(Chorus)
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme
nisiseme sema aah niseme ooh
niseme
nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme
nisiseme sema aah niseme ooh
(Verse2)
heshima
kwako baba vipi Maputo na pipi umeniletea
dukulanikaba
unakotoka ni dhiki kututafutia ooh baba yoo
unapokwenda
kazini uja mgeni mfupi kimo
ana madevu kama osama sijui nani ila bishoo
anakujaga
nyumban kufuata nini mbilikimo
Mama
kaniambia nimuite anko Jon
bora leo
baba uko mama uko me nataka niongee
kuna jambo
lanitatizaga pa nyuma ukiondoka baba
bora leo
baba uko mama uko me nataka niongee
kuna jambo
lanitatizaga pa nyuma ukiondoka baba
mwenzako
mama ananitumaga chakula nipeleke gengeni
pale kwa
mzee kutafuna hapa kati sijui kuna jambo gani
siku nyinginwe natumwaga na zaga kama nyanya
na vitunguu
siku
nyingine hadi pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh
siku
nyinginwe napewaga na zaga kama nyanya na vitunguu
siku
nyingine na pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh
(Chorus)
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme
nisiseme sema aah niseme ooh
niseme
nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme
nisiseme sema aah niseme ooh
Beat plays
till fade…………..
The big tune
ReplyDeleteLove it
ReplyDelete