..............................
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2...
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
.......kutoka kwa admin nawatakia AMANI NA UPENDO VITAWALE KATI YETU WATANZANIA
audio yake iko wapi mkuu
ReplyDeleteNani mtunzi wa wimbo huu
ReplyDeleteShukrani ni msaada mkubwa mno
ReplyDeleteKUNA BETI ANATAJWA KARUME MBONA SIJAONA?
ReplyDeleteNa Mimi pia nilikuwa nashangaa
DeleteBeti ziko pungufu mbona
ReplyDeleteQuite a patriotic song quite an inspiring song
ReplyDeleteMbona beti zipo pungufu?
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteAllah akuzidixhie kiongozi dah nilikuwa najua beti moja hongera kwako
ReplyDeleteAllah akuzidixhie kiongozi dah nilikuwa najua beti moja hongera kwako
ReplyDeletebeti ziko pungufu
ReplyDeleteAudio please
ReplyDeleteHuu wimbo hauna nota zake mwenye pdf yake naiomba tafadhali
ReplyDeleteNakupenda sana Tanzania
ReplyDeleteTanzania yangu
ReplyDeleteAsanteni mungu awabariki
ReplyDeleteNice song
ReplyDeleteNimeipenda weka audio
ReplyDeleteWimbo mzuri wa uzalendo; mwenye nota zake naomba
ReplyDeleteNzuri h
ReplyDeleteNinafuraha sana kuona wimbo wa kizarendo ambao yeyote akiimba upendo dhidi ya nchi yake huongezeka....
ReplyDeleteNi mzuri mashuleni kwani unasaidia japo kwa uchache kupata viongozi makini na wazarendo
Good memory to our coming generation
ReplyDeleteWimbo mzuri Sana huuu jamani
ReplyDelete🤝
ReplyDeleteAmazing song
ReplyDeleteKawimbo kalikoijenga haswa tanzania na utanzania
ReplyDeleteHongera kwa mtunzi,wimbo unatupa nguvu
ReplyDeleteAsante lakini ningependa audio Mungu akubariki sana
ReplyDeletenapataje npta zake jamani tafadhali
ReplyDeleteAsante sana, lakini kuna baadhi watu wanaimba na kumtaja Hayati Karume na pia TANU.
ReplyDelete