R.I.P Heavy D
|
Nafasi imeachwa wazi tena kwenye Ukoo wanahiphop duniani baada ya mwanachama mwingine kuondoka jana.
Hiphop legend HEAVY D, ambae aliwafanya wabongo wengi kuandika mashairi ya nyimbo zake kwenye madaftari, na hata wengine kujifunza kurap kupitia nyimbo zake, akiwemo BLACK RYNO, BLACK CHATA, amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 44 Siku chache tu baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki baada ya kuwa kimya kwa longtime.
majirani zake, wamesema HEAVY D ambae alikua anaishi kwenye Gorofa (apartments) ambako huwa familia nyingi zinaishi, alionekana akipata tabu ya kuhema wakati anapanda ngazi ambapo mmoja wa majirani zake alipoona HEAVY D anazidiwa alipiga 911, ambapo gari la wagonjwa lilikuja kumchukua.
Alipelekwa hospitali iliyokua karibu na eneo hilo, na baada ya saa moja madaktari walisema HEAVY D amefariki dunia.
japo uchunguzi wa polisi juu ya hicho kifo haujakamilika, polisi wanasema hajafariki kutokana na tukio lolote baya la Uhalifu kama kupigwa au ishu nyingine.
moja kati ya apartments za Beverly Hills alikokua akiishi HEAVY D
|
ALICHOKIANDIKA CHA MWISHO KWENYE TWITTER ni BE INSPIRED, nyingine ni ulazwe pema bondia JOE FRAZIER, ulikua mmoja kati ya mabondia niliekupenda R.I.P , nyingine ni Utukufu wote unatoka kwenye mwanzo mgumu.
Nyingine aliiandika siku chache zilizopita, aliporudi nyumbani marekani akitokea uingereza, aliandika nimerudi U.S.A! nayapenda maisha yangu, kwa sababu tu ndio pekee nitakayokuwa nayo.
Heavy D alipokua akiperfom na Tyrese kwenye tuzo za BET mwezi uliopita
|
Source:.. http://millardayo.com/
historia fupi ya Heavy D kama ilivyoandikwa na wikipedia
Heavy D
Dwight Arrington Myers
|
Heavy D
| |
Birth name
|
Dwight Arrington Myers
|
Born
|
May 24, 1967
Mandeville, Jamaica |
Died
|
November 8, 2011 (aged 44)Los Angeles, California, U.S.
|
Occupations
| |
Years active
|
1986–2011
|
Labels
|
Uptown,MCA
|
Associated acts
|
Heavy D & the Boyz
|
source;.. http://wikipedia.org/
show ya mwisho ya Heavy D kuperfom ni ile ya BET awards 2011 last month
R.I.P Heavy D
No comments:
Post a Comment