salasala lyrics - Godzilla


GODZILLA

(Intro)
Wats up
in da house
Chali ina da huz
Dzila ina huz
Welcum to ma hood men
Kevoooo

(Verse 1)
Mtaani tunaishi kama maninja
Ukizingua dakika mbili washakunjinja
Kuna mabrazem pia mapedeshee
Kwenye kona pale stand kuna internet cafee
Ma hardcore wamejazana usiseme
Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Maisha kuwindana sio peace kama heaven
Machizi wanawindana na mAK47
Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho
Ni swala la kawaida kuckia milio ya pisto
Uwa namshukuru kila siku inapokwenda
Na haiwez kupita siku bila kuibukiwa na difenda
Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta
Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata
Mahustle ndo wanaisho vip
Na waliokufa nigga tushawapa R.I.P
Kila siku watu busy kama NYC
Hatuna back kwenye hood kama g ali
Salasala is my hood for show
Ni place ambayo sijawahi kuwabefore

(Chorus)
Thanx God round hii nipo home
Karbu kwenye dzila kingdom
Hata kama show free ntaparfom
West side salasala is the hood i from*2

(Verse 2)
West side ipo ndani wilaya ya kino
Kuna mahustle wenye roho mbaya kama walatino
Tru story men sio nakupa vitisho
Njoo muone zilla anavyosomoke ashk kwa kiko
Njoo kwa hekima nakupa tahadhari
Kila kona wanacheza kamari
Kuna wakabaji wanapiga ngumi kama bondia
Deal zote utapata mpk fedha bandia
Kuna wamama madada pia masista doo
Ukiwachek kwa mguu wana zile tattoo
na mavazi ya kinyamwez kama tupo majuu
Ukitaka beef men nasimama me n yu
Kwa njia za shotkat watu wanapata mkwanja
Ukiona wana mabegi ujue ndani yamejaa ganja
masela hawaishii kuvuta fegi
albams zinnaenda sokoni Hatuzii tapes kwenye begi
 
(Chorus)
kevOO

No comments:

Post a Comment