merry christmas wadau wote

nawatakia heri ya sikukuu wadau wote wa blog ya kibabra......ntakuwa mtu wa ajabu kama sitatoa shukrani zangu kwenu kwakuwa nyinyi ndio mnaofanya mimi niwe hivi nilivyo.....nashkuru sana kwa kuwa mnanipa mawazo ya nini cha kufanya na wapi.....leo ndio kwanza  mwezi wa tatu toka niuptodate hii blog na kuwa ya lyrics kutoka ilivyokuwa apo kabla ''just for fun''......kuna matatzo yapo kwa sasa kama watu kurequest nyimbo na kutozipata au kukosa lyrics za nyimbo mpya punde zitokapo......tupo pamoja marafiki na wadau wote wa blog hii ya kijanja...  tuwe waangalifu katika kipindi hiki..kumbuka pombe na gari haviwezi kuwa marafiki daima.....don't drink and drive.....remember only God knows your tommorow...sema asante kwake kwa kila jambo....MERRY CHRISTMAS 
one love

No comments:

Post a Comment