blog yako ya kibabra..itakuwa haipo hewani kuanzia jumapili tarehe ya 22/01/2012 kwa muda wa wiki mbili kupisha marekebisho..uongozi wa blog unaomba radhi kwa usumbufu wote..
kwa maoni jinsi unataka blog iwe
nichek www.facebook.com/kibabra
www.twitter.com/kibabra
kibabra3@gmail.com
thanx in advance R!E!S!pect
huu ni mwaka mpya...2012 ....ni mwaka mzuri kibiashara kutoka kwa mtafiti mimi...pia kiuchumi na kijamii....fans wa blog hii tegemeeni mambo mazuri kwa mwaka huu mpya..pia nawashkuru sana kwa mwaka jana..much lov and respect
Sna real! Mona gansta! River camp is in the building baby! here we go
wasambaa wamesambaa twende mdumange mapishi pwani kisiwani twende tumange Makuruta akina mura pale mguu pande kiboroloni gulioni shimboni mangi
hii ni history making ni kuacha majina mzee nguruma bibi titi sista carolina hii sindimba msondo ngoma nini barelina vuka bara tuko R tunapanga vina piga para suka nywele ama paka hina kiafrika namwagika wala hofu sina tuna move hii ni proof movie ya sarafina iko wise ni watu white ni wezi black is deaf beautifully crazy, chuga to mtwara, masai mara makonde vinyago, unyago si tohara counter si sonara, GMF FAP Jina ni AR
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeeeah Batiki kanga kitenge kaniki, yeeeeah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha
wasambaa wamesambaa twende mdumange mapishi pwani kisiwani twende tumange Makuruta akina mura pale mguu pande kiboroloni gulioni shimboni mangi
Ah! Mamangu ndo birthday yangu Birthday yake ndo christmas kwenye maisha yangu now roger that, roger millah, lunya milla, no ukabila acha mila, ni uhai fly fly butterfly, we upea hawatufai, mdonyo mi mdonyo lengai, nipe divai mwekezaji si anasa siasa nipe uhai, mi mlipa kodi I need a free body, madaktari wauguzi kwenye kila wodi fanya ujamaa wa kichaga kwenye kila jiji, sijui maktaba walimu ni kila kijiji mapolisi politicians, time wana bargain like ... witch, magician!
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha
kunywa bia no dear ama bia lulu no fear sina ubia kama biankulu makuburu wakafeel na wakataa kimbulu akili zikiwa nyingi ndo unakuwa huru
wasambaa wamesambaa twende mdumange mapishi pwani kisiwani twende tumange Wakuruta wakina mura pale mguu pande kiboroloni gulioni shimboni mangi
afikiri kuwa mkubwa tu ni kufungua zip kuwa mkubwa yamaanisha kuwa deep na drip ya ku run injili ya mwana yosefu na mwana mariamu jesus ni'feel safe na pata free, kuwa free, free yourself na wakosefu ukiwahofu unawatukuza makofi hayawakuzi watoto yatawaumiza! wassup!
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha
oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah Takwenya-shimboni kamwene-urewedi kiujamaa kama azimio la Arusha