artist:Linah
song:angalau
time:4:00
(verse1)
Mwanzo niliteseka na kujinyima uridhike
Kama mume usimame na heshima upate
Pale nilipokuwa sina nilijinyima kimya kimya
Kinara uibuke na sifa zote ziwe zako
(Bridge)
Ila sasa nimebana mlango kwa mambo ayo
vurugu sitaki
Moyoni nina amani nitampata anayenifaa
(chorus)
Angalau sasa nina furaha
Hata yale mawazo yamekwisha
Angalau sasa nina furahaaaa aah
Hata yale mawazo yamekwisha
Ooh ooh ooh ooh turururu
Ooh ooh ooh ooh turururu
(verse2)
Jambo kama shukrani haliitaji shule wala chuo
Ni tabia ya mtu ya ndani sio ya kubebeshwa kwenye nguo
Na hata ninayestahili nisipopata sitadhurika
Ila angalau gizani kidogo naamn ntaweza toka
(bridge)
Ila sasa nimebana mlango kwa mambo ayo
vurugu sitaki
Moyoni nina amani ntampata anayenifaa
(chorus)
Angalau sasa nina furaha
Hata yale mawazo yamekwisha
Angalau sasa nina furahaaaa aah
Hata yale mawazo yamekwisha
Ooh ooh ooh ooh turururu
Ooh ooh ooh ooh turururu
Ooh ooh ooh ooh turururu
Ooh ooh ooh ooh turururu
(bridge)
Ila sasa nimebana mlango kwa mambo ayo vurugu sitaki
Moyoni nina amani ntampata anayenifaa
(chorus)
Angalau sasa nina furaha (vurugu sitaki)
Hata yale mawazo yamekwisha (vurugu sitaki)
Angalau sasa nina furahaaaa
Hata yale mawazo yamekwisha
Ooh ooh ooh ooh turururu
chek video ya angalau
No comments:
Post a Comment