Angalia nyimbo Zilizoleta usumbufu katika mahusiano ya wahusika hivi karbuni



Stil a lier ya Wahu
Ilifanya magazeti mbalimbali nchini Kenya yaripoti kuwa ndoa yake na mwanamuziki mwingine mkubwa nchini Kenya Nameless iliyojaaliwa mtoto mmoja wa kike kuwa imevunjika, habari ambazo wenyewe walidhisibitisha kuwa sio za kweli

 
Na video ya mawazo ambayo ilisababisha vyanzo kadhaa vya habari nchini Tanzania viripoti kuwa mwanamitindo na muimbaji  mwanadada Jokate Mwegelo kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa mbagala Diamond ambaye kwa wakati huo alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo na mwigizaji  mwanadada Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment