Mwimbaji Star wa bongo LADY JAY DEE amezitaja sababu chache zinazomfanya asionekane kwenye majukwaa mengi ya kibongo akiperform.
Exclusive na millardayo.com Jide amesema”wakati mwingine mapatano inatokea muandaaji wa show anashindwa kulipa ninachotaka, au mwingine anashindwa kuniweka kwenye show yake kwa sababu anaona sijafit kuwepo”
moja ya usafiri anaomiliki Lady Jaydee kwa ajili ya band yake |
source:http://www.millardayo.com/
click hizo link kupata lyrics zake
mimi ni mimi by lady jaydee ft Oliver Mtukudzi
wangu by lady Jaydee ft mr Blu
No comments:
Post a Comment