samboira lyrics by Benpol

(verse 1)
asubuhi tu kukicha ,mi nazianza pilika
mchana kutwa kutafuta ,nikutunze langu ua
na uzuri ulionao ,nakuacha nyumbani peke yako
roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako
na uzuri ulionao,nakuacha nyumbani peke yako,
roho inaniuma mwenzio,
natamani nishinde pembeni yako ,
mi napata homa,
njiani na watu ukisimama,
na roho inaniuma,
sokoni kurudi umechelewa.
mi napata homa ,njiani na watu ukisimama,
na roho inaniuma ,
sokoni kurudi umechelewa

(chorus)
samboira kuruse, sumuka na vyeuye kutaali(kutaali)
jichunge mama ..
katu sitopenda nikukose mpenzi wee
samboira kuruse sumuka ne vyeuye kutaali,
jichunge mama katu sitopenda ,
nikukose mpenzi wee ..

(verse 2)
ulishajua mi nakujali sana,
ndo maana moyo wangu unaniuma ,
nakuomba kipenzi chunga sana ,
maana wapo wasiopenda kutuona ,
...
wakijipitisha kutwa kucha ,
waambie kwangu umeshafika ,
usidanganyike na zao pesa ,
pamba na magari na vya kupita ..

(chorus)
samboira kuruse ,sumuka ne vyeuye kutaali
(kutaaali)
jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee ....till fade

by BenPol .



watch video

hongera kwa kunyakua TUZO kaka...your the best ...keep it up

2 comments:

  1. Fantastic!
    VOICE,VIDEO,LYRICS ETC,.STUDY TO PLAY WITH JUKWAA! DANCE! utatoka kiukweli, watu kama Diamond hawakaribii talent yako but wanajituma jukwaani na hata video ktk kudance1 KEEP IT UP UTATOKA KIUKWELI! UKO JUU

    ReplyDelete