emergency lyrics by yung d,tiffa,Godzilla,staminah and Godzilla

if you want some more
you ready?
cause i need some dough
tiffa, lets get 'em

[Tiffa]
natakataka nitoke safi, chini kiatu flat
suruali ya black, na vest ya pink
nipulizie marashi, nionekane msafi
Nikitoka kwa street, we unakula bati
we uonekane unavutia, naonekana mrembo
basi niwe mzuri wa tabia, ili niepuke skendo
sio kila mtu namchukia, najua kila jambo
ndio vile star nishakuwa, adabu mweke kando
when it comes in the money, i have to overstand
nigga street ina'burn, hatuambii malani
im a hawker, i represent black
this is what i do, now i do mmenipa. ah?
you just go usione soo, you have a lot at shallow
mi rev up mi but do it do it but sing
mi nashika nakamata, everyday kuiponda ukikata
its okay, tiffa!

[G'Zilla]
skiza punchlines cheki swagga cheki flow
piga emergency call if you want some more
mi nafanya hivi cause i need some dough
niko peace na kila mtu sina ugomvi baby mo
gusa hii number alafu uone
iwe jioni au early in the morning
its just its just ish, its just emergency
its just..

[Y'D]
mziki naufanya bila stick za home
we mbwiga unantishia kivipi, im grown
man im strong ila naheshima machizi
mi ni yung ila im after dough, ni lazima ni mbizi
yeah im busy, but i need a girlfriend now
sio fika, eti fulani akuite boyfriend now
huh huh, wanasema mi sio conscious kwao
hawajajua nnachofanya, mi ndo favorite wao
cause nakaza huku naanza safari ya mziki huu
afu na ladha waliyoanza huku nawapitia kwa juu
he usiogope mi ni mdogo tu
ila nang'akta kama mamba aliyekamata kangaroo
na bomboclat in my head, mi i smoke music
let me smoke it all day and do this beat
mi ni gongo we ni soft drink
tiffa staminah snap tell what you think man!

[G'Zilla]
skiza punchlines cheki swagga cheki flow
piga emergency call if you want some more
mi nafanya hivi cause i need some dough
niko peace na kila mtu sina ugomvi baby mo
gusa hii number alafu uone
iwe jioni au early in the morning
its just its just ish, its just emergency
its just..

[Staminah]
nayachezea haya maneno, utadhani mdomo una pad
nna utajiri wa misemo, hadi ubongo unahitaji guard
wanakipa promo kizuri, huku bora wanakiweka kando
sawa, nna demu mzuri, aliyepata bahasha asiyeenda jando, staminah
biashara sanda, emcee kaa bila promo
hii ndio sauti ya parapanda, mzinzi sikia upate somo
naumulika mwanga, unapontishia kufifia
hizi tenzi nnavyozipanga, mpaka heshima inaniamkia
usimdanganye muongo, ukadhani umeficha ukweli
rhymes zangu pepa za congo, teacher wa kibongo utafeli
siendeshwi na blunt, japo moshi wake nnaujua
punch zingelipiwa VAT, TRA wangenisumbua
ma'hitter wanataka upako, wakidhani mungu ni mzungu
mi ndio baunsa wa ma'rapper, nailinda ikulu na rungu
nguvu za uongo wa video, zinawapoteza vijana
usijiite jembe huku kimeo, wakati pabichi unakwama, haha!

[G'Zilla]
skiza punchlines cheki swagga cheki flow
piga emergency call if you want some more
mi nafanya hivi cause i need some dough
niko peace na kila mtu sina ugomvi baby mo
gusa hii number alafu uone
iwe jioni au early in the morning
its just its just ish, its just emergency
its just...

[Country Boy]
i heard them niggas, stuck already but i really dont care
hadi mwendo wanabadili kisa track ipo on air
game lipo kama msimu we unakuja unapotea
nipo chimbo najipanga magumashi yanaendelea
mi ni mtu che for real, F'Baby where you at?
game right, i make money broke niggas get back
im a talk, niko mbele nyie nigga in the stuck
im the sign of the game, hell yeah thats a fact hey
wana'hate wanataka kuni take care
wanadiriki kuniwekea beef kisa kugombania crown
mtoto wa kiume, tai ikichanika mi ntakuvalisha gown,
wanatamani mimi nife but the kid is still around nigga
im coming up and you better get ready
mi nina imani za kirasta japo sina hata dreads niggas
im coming up and you better get ready
mi nina imani za kirasta japo sina hata dreads ah

[G'Zilla]
skiza punchlines cheki swagga cheki flow
piga emergency call if you want some more
mi nafanya hivi cause i need some dough
niko peace na kila mtu sina ugomvi baby mo
gusa hii number alafu uone
iwe jioni au early in the morning
its just its just ish, its just emergency
its just..


skiza punchlines cheki swagga cheki flow
....if you want some more
....cause i need some dough
....sina ugomvi baby mo
....ubongo uone
...in the morning

its just emergency...haha


No comments:

Post a Comment