Siku hizi hatulali by Cyrill {Kamikaze} ft Chege

Damn im a party monster, huwaga silali kila club chata
kila siku kwangu mi ni bata, ukinifuata, utadata
kila siku mi ni happy day, hey hey happy day
kila siku mi ni full shangwe, hey hey full shangwe

kama billionaire, kwenye counter
kama msukuma wa Mwanza anavyopanga chupa
tunatumia sababu tunazo, ubaki nyumbani kazia kwa kodi za mawazo
mabata boys wapo nyuma wanaunga huu msafara
tuna'locate viwanja tukajitoe kafara, uhhh
huu mziki umeshageuka biashara
kama we unafanyia sifa basi ujue unapata hasara
jombaz pusha, tushawatema
tulianzisha mstari wa mbele wakazima mapema
watu wazima bado tuna'control
aka nightmares mpaka six in the morning!

Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata
Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata

hili bata limesimama hapa
we hapo huwezi bia then huwezi bapa
hatufanyi starehe man tunajiachia
maisha ni mafupi sana so tunasherehekea
mifuko umelegea, imetoboka usitufuate
jua umenufakisha baki ulipokaa
hapa ndo makao makuu ya kula bata TZ
wengine wanafuata wengine tubaki mbize
hatulali tunakuaga busy
tunawinda wale madem wanapenda business
hatulali tunakuaga busy
tunawinda wale madem wanapenda business
ni kama tym ya ku'pop them bottles
tuna'party tuna'boogie tunasimamia shows
watu wazima bado tuna'control
aka nightmares mpaka six in the morning!

wale wa leo,
wale wa leo
twende tuka'party

Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata
Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata

No comments:

Post a Comment