nataka lyrics by Godzilla ft Marco chali

Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
verse1:
Waiter leta mitungi mpaka asubuhi nakunywa siyumbi
Basi Waiter leta mitungi mpaka asubuhi nakunywa siyumbi
Nipeni beer na marco chali
Usijali nje mecome na gari
Vumbi inatimuka basi njoo uone
Kwasa kwasa mpaka till in the morning
Mambo yako pouwa kila kitu bwana mukide mukide
Na tungi juu moja chini shikide shikide
Beeftao yupo na walter
Kwenye viwanja zilla uwezi nikosa
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
Aah aah aah
verse2:
Dondosha shampagn na gin counter nimeclear nipo safi sina deni
Dondosha shampagn na gin counter nimeclear nipo safi sina deni
Watoto wamepandisha mori
Hizi ndio zetu tukikuudhi we are sorry
Hapa ni tungi badala ya tungi
Usiku mzima busy tunasaga mirung
Mkono wa kushoto ni bg g na soda
Nahitaji jon walker nimeshaweka order
Angusha ilo bapa here we go tungi haliishi limejaa kwenye stoo
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
bridge:
Nipo nipo nipo kwenye party
We ukibaki hapa me nasonge pale
Nipo nipo nipo kwenye party
We ukibaki hapa me nasonge pale
Waiter leta leta monde leta
Waiter leta leta monde leta
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
Aah aah ha ha
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo Chaa leta monde leta
Njoo Chaa leta monde basi leta
Zila zila zila marco chaaaali
Zila zila zila marco chaaaal

No comments:

Post a Comment