(intro)
Yo KGt KGT
shade G record baaby
Everybody
say Shetta de Shetta de Sheta
say Shetta
de Shetta de Sheta
Chief
Kihumbe the boss
(verse1)
Wezee
We ndio
kwangu namba one vicheche nimeshaviacha gizani
Penzi
langu kwako kama mzani pima juu chini nishakata tani
Utake nini
mi kimbelembele
We
mwenyewe Utake pizza utake mchele
Na wansema
ulinipa ngedere mmh waache waongee
Hiyo ni
gelegele
Na ndio
maana nazisaka tu
Hata
nikizipata hapa ni bata tu
Hapa
kimeshawaka me ni wako boo
Tumia
unavyotaka changu chako tu
Kazi kwako
duu
(chorus)
(Shetta)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou Sipush
maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Na ndio
maana me nadata na ndio maana me nadata
Umenibeba
matamu na mashamushamu hakuna kununa
Kila siku
ntadata
Na ndio
maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio
maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
(verse2)
Me sio
tajiri sio tajiri
Sio tajiri
sio tajiri
Ila vitu
kama
Less wigi,
high heels, leggings gstring
Vyote
kuvipata easy baby easy baby
yote
nitakizi baby
Sitakupa
masizi baby
Ukinitosa
nitakuwa kama chizi baby
Yes
nilikupata kwa manati sana hapa naenjoy
Wale
siwataki mama
Sijagonganisha
wasichana
Bonge la
bwana toa wasiwasi mama
Sijagonganisha
wasichana
Bonge la
bwana toa wasiwasi mama
(chorus)
(Shetta)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Na ndio
maana me nadata na ndio maana me nadata
Umenibeba
matamu na mashamushamu hakuna kununa
Kila siku
ntadata
Na ndio maana
me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio
maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
(Shetta)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Shetta)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle
toka way back
Kula tungi
ukizimia ntakubeba
Noou
Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Yes sir me
ndio bonge la bwana bonge la bwana na Linah baby
No comments:
Post a Comment