(Verse1)
Ala moja aikai panga mbili nimeamini nilidhani nitaweza kuwamudu wote wawili
Ye hawepo na we niwe wako
Kwake nipate na we nipate penzi lako
Kweli sitaweza kuacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza mali nipate moyo wako nitulie
Kweli sitaweza kuacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza vyote nipate moyo wako nitulie
...
(Chorus)
Ulisema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo me mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa me mwenzio utapata kwa mwengine
Ulisema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo me mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa me mwenzio utapata kwa mwengine
(Verse2:Linah)
Ukweli wote ulijificha ukuweka wazi
Fadhili zote kumbe bure nani atanienzi
Ningejua pendo lako wala nisingelipokea
Naumia penzi mimi sitaweza kushare
(Ben pol)
We ndio wa moyoni
Siwezi nitafanya nini
Kuishi mbali nawe kwangu naona kazi bure
Labda uhai niutoe
Niwe chizi nipagawe
Kama timamu nielewe
Labda uhai niutoe
Niwe chizi nipagawe
Kama timamu nielewe
(Chorus)
Ulisema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo me mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa me mwenzio utapata kwa mwengine
Ulisema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo me mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa me mwenzio utapata kwa mwengine
No comments:
Post a Comment