House of music A city in tha house
Mpeleke joh makini nikki wa pili wara wara
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane
Nje ya kumi na nane
Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane
(VERSE1: Niki wa pili)
Mungu nijalie demu mpenda pesa
kila siku nipigane kuwa bakhresa
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa wengi
ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha
na misoto sana
Huyo demu hanifai changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
Sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga
Tayari amejipanga kwa mabusu
mangapi
Demu nayemtaka manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza
sh ngapi
(CHORUS: G –Nako)
Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box
nje ya box
Nje ya kumi na nane
(VERSE2: Joh Makini)
Namtoa nje ya box ndio nampecha ndani ya box
Aulizie ferrari jo ni kitu gani verosa
Demu boda boda kwenye bajaj anasinzia
itaua kipaji na uwezo wa kufikiria
Asinipende kama joh anipende kama stars
Super kabisa ile
gumzo ya kitaa
Hili nikaze asinilemaze nikadumaa
Sio demu anayehitaji kuwa na ndoa
Bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
Na sheria mikononi simpgi demu
Nachukua sheria kiunoni joh let me kill them
Asiyefanya kazi ndio neno lenye uhai
Asishike neno ashike maneno lenye maslahi
My lips don’t shine when yo hips don’t lie
Sio wa lift vocha chips mayai
Demu cheap me hanifai
Habari gani afanye niwze milioni
Kumuonga laki mbili tabu nisione
Ukiona mdundo ni mapene ya mweusi
Sio miaka thelethini na tano driving school
(CHORUS: G –Nako)
Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane
Nje nje nje nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box nje ya box
Nje ya kumi na nane
Hapo unatakiwa uandike:
ReplyDelete*Kumuhonga laki mbili tatizo nisione/
Yah
ReplyDeleteGood work
ReplyDelete