[Intro - Joh]
Yeah!
You know whats happening when Weuse meets
Nahreel, right?
Oyayoo...ooohoo
A city in the house!
Oyayoo...ooohoo
Lets go!!
Chorus[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Joh Makini]
Kubadili hizi mboga mbili tu tabu kwa mswahili
Mganga hana mashairi jomba ni bure kupiga
ramli
Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele
Mboyoyo mingi kelele, kamata tupa kule
Wajukuu wa Nyerere, chuki zako ni bure
Kiunoni ni sime njele, juu sipendi kelele
Mavumba ni baba Fere, Temeke huita michele
Karibu gheto ni sherehe, Weusi hatuna kwere
Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry
Sinyasori wapi Shaa sina story
Wivu ni kidonda umeshiriki ugua pole
Chakati juu kiki...woo woo!...pole pole
Chorus[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Nikki Wa Pili]
Sio gweraa hii jombaa Nikki yule yule
Nilivyovaa, nilivyong'aa ni kimulimuli
Viburi flow Idd Amin like nduli nduli
Brain kubwa, ndoto kubwa za manguli nguli
Watoto nao ni kibao siku hizi sipigi puli
Usijikombe chonde chonde na makonde bure
Punguza njaa lia ubao jomba kaza msuli
Kwenye hela ndo watoto wanatulia tuli
Benchi mnasugulia ha..hamna carrier
Ah! mziki kama mbege kwangu suna kulia
Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo tunatulia
Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa
Get it?
Chorus[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Gnako]
Kimbiza kimbiza...Usain Bolt
Tupo center ya mchezo...centre bolt
Hatuna penda love, Weusi mtu tano
Center half no beef..no..no..no!
Tulifanya ndafu, mchezo unatupa bread
Mda wa chai ujuzi unasambaza umbea
Mkuda hakai, hatuongei ongei
Tunafanya hatufanyi fanyi, tunafanya kazi
Mungu hakupi roho mbaya
Sshh! Umeipandikiza
Kichwa chako passport, uwezo wako ndo Visa
Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna flow vizuriii
Chorus[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere!
...kwere!
...gere!
...kwere!
...gere!
[Outro]
*kinanda kinanyongwaaaa*