Ahhh
Kale kapenzi katamu nilichokupa kutoka moyoni
na ile michezo mitamu sasa shubiri chungu mdomoni
macho yangu yamezoea kuona vile ambavyo na supu
yaliyonikuta mpaka huruma, nakuyavuna mabusu
maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja imani
ukavunja na kandili ya mapenzi yaani tena hadharani
maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja imani
ukavunja na kandili ya mapenzi yaani tena hadharani
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
ukanimwaga na machozi hadharani
ahh, mi mwenzako iliniuma
mi mwenzako nilikukanya lakini
ukawafuata mwajuma
nakumbuka nilivyokua najituma nikupe mapenzi ya dhati uridhike
kumbe mwenzangu muasherati, nia yako niteseke
jama!
maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja imani [Imani]
ukavunja na kandili ya mapenzi yaani tena hadharani, aiii!
maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja imani, [imani]
ukavunja na kandili ya mapenzi yaani tena hadharani
sijazoea masebene mie [oooh]
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule [oooh]
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie [oooh]
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule [ooh]
kumbe mwenzangu mawenge
mamaaa, mawenge
kukupenda kote kule, mwenzangu mawenge
ahhh
eeeeh
eeh ohh mama mama mamaa!
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
sijazoea masebene mie
yanini bora uniache
honey, kupenda kote kule
kumbe mwenzangu mawenge
No comments:
Post a Comment