hatimaye liverpool fc imeibuka kidedea kwa kuitandika goli 3 kwa 1 timu ya manchester united......Kuyt katumbukiza goli zote 3 ..n kwa upande wa man utd chicharito amewapa kidooogo amani ya moyo man utd...
No comments:
Post a Comment