neno la leo:

sio wote wanaolia kwa uchungu msibani walikuwa wanampenda sana marehemu hivyo wana huzuni hawatakua nae tena,wengine wanalilia madeni yao waliomkopesha marehemu............''neno la kev sio sheria''

No comments:

Post a Comment