Hakunaga-suma lee
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Kosa la kuniomba msamaha me hakunaga
ila naomba msamaha hakujaishaga
nawe umenivumila sana me sijaonaga
angekuwa mwingine kashanimwaga,
siku tunagombana siku tunapatana
wanandugu wanajua tumeachana,
kesho watuona ctunatekenyana
ni kweli me na we tunapendana
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Mzuri kama we kwangu me hajatokeaga,
uzur wa nafsi kama me hujamwonaga
tukipata pesa minofu tunakulaga
na tukikosa chai mkate tunalalaga
Dunia hii dunia ya leo muda mwngne wakosa muelekeo
nashkuru nimempata mwenye upeo
daima nataraji maendeleoo
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
(Background vocal)
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
Hakunaa hakunaga
No comments:
Post a Comment