baadae sana lyrics-Mabeste ft Jux

Toka b-hits
Mabestee

Vile nilianza game Walijua peni ikizidi nitaacha baadae sana
Walizani nacome nakupotea eti wameanza wao mimi baadae sana
NiNmewapita natamani kuwangoja kufikia mahali nipo mmh baadae sana
Mutaweza hiki kichwa hizi fikra huu ukuta kuuvuka mbinde baadae sana
Kuchanganya kanye jigga wizzy kwenye ngoma yangu hii ktu co baadae sana
Magazeti na TV kuhusu HIV kwamba itaisha leo baadae sana
Hata malaya alizaliwa na bikira so tumia mpira uishi ufe baadae sana
Mimi kijana npo npo nini majukumu mambo ya kuvuta jiko baadae sana
Asee

Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Eeh eeh iyeah yeah

Shhh kuacha hii kitu inavyonipeleka mbali kichwa baadae sana
Walivyosura umbika mgongo ita mimi kukataa kuitwa kwenda baadae sana
Kama ni happy najichana sana mi sijui kesho zitaisha leo baadae sana
Si me najua mwanzo na kati ni vipi nistart hadi nifike mwisho baadae sana
kama ni demu muongopee yeye akijua wewe yuko na  polis
Nitapeli na mimi nikudhulumu Tukijajuana uko mbele ni baadae sana
kama kuiba tunaiba sio sana kujipanga wakijua kupo baadae sana
B.hits ni army na hapa tatizo ukilitatza kulitatua ni baadae sana

Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Eeh eeh iyeah yeah

Usupastaa kazi yako kuzima soo me nimebuy yangu mpaka kuisha baadae sana
Sana sneaker jeans na fulana za ujana kufulia baadae sana
Kuacha ngumu utaacha mpaka ujue mapenzi upofu huna chako guy baadae sana
Nikwako nini mwenzako atapata ilni mpaka ujue faida yangu baadae sana
Siri maisha inapanda na kushuka ikishuka kurudi juu baadaye sana
Si tumeingia kwenye giza na tumepotea siku tukijua njia baadae sana
Eeh baadae haters, haters oyea baadae Mr. Yaani ma brother sai baada ya csta
Baada ya jamaa mimi na nyinyi tena baadae Sana

Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Aah Aah aah baadae yoo waa waa waa baadae sana
Eeh eeh iyeah yeah

Toka B-hits

1 comment: