mida ya kazi lyrics - Dullayo


Dullayo



Aah Mida ya kazi
Mpenzi acha niwai kazini..

(verse 1)
Usijali mama kesho mapema ntarudi mimi
Nakukumbuka nakukujal nakuthamini
Kuna wengi sana wapo kama mimi
wanapenda sana wawahi kazini
unadhani mpenzi bila ya kazi tutakula nini
Huku mjini shazi wote tayari  nangojwa mimi hunlove
 Kuna wengi sana wapo kama mimi
wanapenda sana wawahi kazini
Unadhan mpenzi bila ya kazi tutakula nini
Uku mjini shazi wote tayar nangojwa mimi
 hunlovee mida ya kazi hunloo
mida ya kazi mpenzi wacha niwahi kazini

(chorus)
Najua umenimisi acha kwanza niwai kazini
Nikirudi ntakukisi ngoja kwanza niwahi kazini*2
Ooh ooh Mida ya kazi (mida ya kazi)
 mpenzi acha nwai kazini

(verse 2)
Najua mpenzi wangu unanipenda
 najua mpenz wangu unanijali
Lakini mpenz bila ya kazi ntaishi vipi
 acha nifanye kazi kesho mapema
ntarudi mimi
Eey mwenzako nikichelewa hata pesa ntakosa
 ona navyopigiwa na bosi ananiita

Mida ya kazi *3

Mpenzi acha niwai kazini
Eiiye eeiye eeiye mida ya kazi*3

Beb beb beblove you beb

(repeat chorus)

(Mida ya kazi ngoja kwanza niwahi kazini)*3
moja ya products za mida ya kazi          

kevOO

No comments:

Post a Comment