Kidum na Sana |
verse 1
Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia
Jua ya kwamba ameguswa pahali
Sio rahisi si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi
Hapo zamani nilidhani mwanaume akipoteza kazi ndio chungu ndio unyonge
Kumbe mapenzi ndio sumu kali inayofanya mwanaume kulia
Kama mtoto kama kibogoyo

Bridge
(Habembelezwi anyamazishwi machozi yake inatoka ikienda tumboni)*2
Chorus -Sana
Mulika mwizi (mulika na tochi mulika)
Mulika mwizi (kama kuna giza mulika nimulike mwizi)
Nasumbuka nataka kujua nan mwizi wa mapenz
Mulika mwizi (mulika na tochi mulika)
Mulika mwizi (kama kuna giza mulika nimulike mwizi)
Nasumbuka nataka kujua nan mwizi wa mapenz
Verse 2
Kwa barua pepe kwa simu ya ndundu ujumbe mfupi unafutwa na sekunde
tatu(sekunde tatu)
Nilimpenda beb wangu nikampea roho yangu amechukuliwa amenyakuliwa
Jamaa fulani hapa mtaani mwenye magari na mapesa
Amechukua beb kanifanya crazy

(Sibembelezwi sinyamazishwi machozi yangu inatoka ikienda tumboni)
Usiombeleze unamjua huyu jamaa
Nikajifanya bubu wengine vipofu
'
Mulika mwizi jamani nimulikie mwizi
Nimulikie mwizi
Unasumbuka nataka kujua nan mwz wa mapenz nan mwiz wa ma

Ukiona beb wako anaingia kwa bafu na
simu mkonon huyo ni mwizi (mulika mwizi)
Ukiona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba (mulika mwizi)
mulika mwizi
Ukiona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba (mulika mwizi)
mulika mwizi
Ooh ooh
Nimulikie mwizi jaman mulika mwizi
Nionyeshe niambie ni wapi nimulikie mwizi
waniuaaaa mulika mwizi waniumiza mulika mwizi
Kila mtu mwizi wa mapenzi
Mimi pia mwizi wa mapenzi
Nimulikie mwizi jaman mulika mwizi
Nionyeshe niambie ni wapi nimulikie mwizi
waniuaaaa mulika mwizi waniumiza mulika mwizi
Kila mtu mwizi wa mapenzi
Mimi pia mwizi wa mapenzi
No comments:
Post a Comment