Blog ya kibabra inatoa pole kwa mdau na rafiki mkubwa Bernard Malakasuka kwa kufiiwa na baba yake mzazi jana katika hospital ya rufaa ya jijini Mbeya, msiba upo kwa marehemu mzee Malakasuka maeneo ya uzunguni, jijini Mbeya na pia mtangazaji wa generation fm ya Mbeya na rafiki mzuri wa kevO_o, Twalib Nassoro kwa kufiwa na mama yake mzazi
Inallilah wa inallilah rajroon..AMEN
No comments:
Post a Comment