chokoza lyrics by Marya & Avril

Song:Chokoza
Artistes:Marya, Avril
Writer:Mary Maina, Nyambura Mwangi
Language:Swahili, English

verse 1
Hey Marya vipi nakuambia
kuna chali anaangalia
mi na Avril tukaenda msalimia
akatupa shoti za tequilla
huyu chali kaanza kukatia
eti body zetu zavutia
tukapanga vile kumkimbia
tukaenda loo kisha tuka-disappear
mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza)
chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza)
mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza)
chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza)

Chorus
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi

Verse 2
wewe chali
usione mimi ni chipsi funga wee
when I smile at you,
don't mean I want to spend the night with you
when I dance with you
don't mean I want to get freaky with you
ati twende nyumbani
wee chali hebu wacha ufala wee
miniskirt
mi urembo tazama lakini songa wee
songa mbali
don't you see that you are
bugging me
I've got my own
my job my car
my job, my cash
etc
tafadhali nipe heshima yangu

Chorus
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi

Outro
ai bana
mbona machali hu-behave hivi
tumeenda club, lakini wanaume
jamaa hajui hata kama unapenda machali ama madame
mi nikiingia klabu nataka beshte
tujuane kwanza bana

mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza)
chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza)
mi na beshte yangu tumekuja klabu (kazi yetu si ni kuchokoza)
chali hunipati after hii party (tumekuja tu kukuchokoza)

Chorus
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi
tumekuja chokoza
usidhani umepata nafasi

source:http://www.museke.com

watch video

No comments:

Post a Comment