juzi jumatano mwanadada Linah Sanga alifanya interview na Voice of America....mwanadada huyo yupo nchini Marekani kwa ziara ya miezi minne kupiga show pamoja na kutangaza utamaduni wa Afrika
baadhi ya picha Linah akiwa ndani ya studio VOA |
baadhi ya picha Linah akiwa ndani ya studio za VOA |
hivi ndivyo status ya mwanadada Linah ilivyokuwa inasomeka jumatano |
No comments:
Post a Comment