Amerudi
Na naaah ooh na na na
na
Ooh na na naaaaah
(VERSE)
Kwenye maisha sijawahi juta majonzi yapo mimi kuyatafuta
Uongo mwingi usiku weka nukta majuto ni mjukuu leo naumbuka
Penzi ulilonipa lilinisaulisha mpaka nikaisi we ndo wangu wa
maisha
Penzi ulilonipa lilinibadilisha mpaka nikabadili mfumo wangu
wote wa maisha
Penzi nililopata kwako nilifurahi sanaaah
Furaha yangu kwako kama nipo paradise
Penzi nililopata kwako nilifurahi sanaaaah
Furaha yangu kwako kama nipo paradise(kama nipo paradise)
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Nipo paradise
(CHORUS)
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako
(VERSE)
Japo wengi wanakujua wewe ila tambua wangu amerudi ooh
Japo wengi wanakujua wewe ila tambua wangu amerudi ooh
Ujue utambue tayari nimeshakosea
Ujue utambue nilichofanya kwako sio fear
Ujue utambue nilichofanya kwako sio fear
amerudi
Wewe nilikuficha yeye mpaka nyumbani nshamtambulisha
Wewe nilikuficha yeye mpaka nyumbani nshamtambulisha
Japo sikualika penzi lako ila nilificha yo love (yo love)
Japo sikualika penzi lako ila nilisema I LOVE YOUUUUU
baaaiby
(CHORUS)
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote
niliyofanya kwako
(VERSE)
Kusema I love you nimekosea kukuficha sio fear
Nisamehe nimekosea nisamehe
Kusema I love you nimekosea kukuficha sio fear
Nisamehe nimekosea nisamehe
Yanabaki kuwa siri me
na ww kama tulikuwa wapenzi
Hata mkikutana msirumbane
………..TO BE CONTINUE
No comments:
Post a Comment