(Amini)
Umutima wange
ni wewe
Umutima wange
ni wewe
(Linah)
Umutima wange
ni wewe
Umutima wange
ni wewe
(Amini)
Umutima
wange ni wewe
Umutima
wange ni wewe
(Linah)
Umutima
wange ni wewe
Umutima
wange ni wewe
(Amini)
Naomba
tujifunze kupenda kusiwe na doa
Ningeweza
kukufunga kamba ingekuwa poa
Usiruhusu
kura za ndio mimi si mgombea
Na mapenzi
hayagawanyiki
Ukigawanya
umejitakia
(linah)
Hakuna
nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa
hakuna tunalala tunakuamka
Tulilinde
penzi letu mbele tusonge
Tizilinde
ngome zetu sumu isipenye
(Linah)
Nimekukabidhi
moyo wee wangu wee
Na ukifate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi
moyo wangu wee
Na ufate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Umutima
wange ni wewe
Umutima
wange ni wewe
(Linah)
Umutima
wange ni wewe
Umutima
wange ni wewe
(Amini)
Nisikauke
kwako moyoni
Uvishinde
vishawishi mama
Wenye pesa
watasaka wakipata wanaambaa
(LInah)
sitakauka
kwako moyoni
Nitavishinda
vishawishi haya
Pendo lako
lanishika kamwe sitatoka
(Amini)
Ugomvi
mdogo usizalishe malumbano
Tuzishinde
chuki na fitna zikiwemo
Angu angu
wele apo nengepende na wewe
Saulo
nitakutenda nelo nasiwaza narunduro
(Linah)
Angu angu
we apo me nepende na wewe
Saulo nitakutenda
nelo nasiwaza narunduro
Nikikosa
unisamehe na ukikosa nikusamehe
Nikikosa
unisamehe na ukikosa
(LInah)
Hakuna
nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa
hakuna tunalala tunakuamka
(Amini)
Tulilinde
penzi letu mbele tusonge
Tizilinde
ngome zetu sumu isipenye
(Linah)
Nimekukabidhi
moyo wangu wee
Na ufate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi
moyo wangu wee
Na ufate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Linah)
Nimekukabidhi
moyo wangu wee
Na ufate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi
moyo wangu wee
Na ufate
kile nisemacho wangu wee
Ukipinge
kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Hakuna
hakuna kama wewe
(Linah)
Hakuna
hakuna kama wewe