kesho by Diamond

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse1)
Kwanza kabisa nitanyonga tai t’shirt na jeans nitatupa kidogoo
Niite nassib usiniite dai asije kukuona muhuni akapandisha mbogo
Na ukifika uagize chai savannah tequila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai tupia pendeze  ladha yake inoge
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse2)
na usilete swagger za nai nai
ukanyoa kiduku kama moze liogo
eti shopping twende thai
wakati dada angu ana duka kigogo
ukikuta nguna usikatae
we zuga unapenda hatakama wa  muhogo
kuhusu kabila wala silagai
Mama angu hana noma hatakama mgogo
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(bridge)
mama yangu  mama
mama nassib mama
mama diamond mama
mama yangu nyumbani
mama chali mama
mama sepetu mama
mama kidoti mama
na mama diamond nyumbani

(piano plays...)

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(piano plays......)

nafurahije by Gosby

Intro
This is chakwachakwa music my broda
Majungu huh!!
I no go chiloo they go chop oh

(Verse 1)
Baby nikiwa nawe moyoni furaha tele
Hawapendi niwe nawe ndio maana hawaishi kelele
Eh wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona
Eh wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge)
Iyeee iyeee iyeeee eeeeehh
Yeahh iyeeee iyeeee eeeeh

(Verse 2)
Wanapenda kuona tunagombana
Hawapendi kuona si tunapendana
Ona mpaka sasa tunafanana
Tuko pamoja mpaka tunaoana
Mabusu mbele kwa sana
Mapenzi wawili hakuna kubanana zoro
Hah wamebaki doro tuko hivi mpaka tomorrow
Wakizingua Dar tunakwenda Moro mapenzi yanang’aa sio giza totoro
Hah hakuna kasoro nonono no mgogoro
Wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge 2)
Kama yupo anayekupendaa basi mzuie basi mzuie eh
Nenda popote anapokwenda we nenda na yeye
Waha hiha

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge 3)
Watu pipo pipo pipo watu pipo pipo
Watu pipo pipo pipo watu pipo pipo
Wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh
Wanatuma na message baby we unaona ona eh
Kama yupo anayekupendaa basi mzuie basi mzuie eh
Nenda popote anapokwenda we nenda na yeye
(piano plays.......)

mambo by cpwaa ft anto'neyo

(Intro)
This is wanene entertainment and the brainstorm music

Antonio welcome to Tanzania east Africa
The home of the greatest land
The Swahili nation kiswahili
The greatest women and the greatest culture

(Chorus)
Niaje do you speak English
Mambo do you speak English
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are

(verse1:Anton’Neyo)
This guy grab on ya don’t care about her
I don’t know what it is but somthng is there about her
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking
So what the digit I live and play for airtime
Forget this women I don’t wanna ongea stime
Niaje 
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking
What you drinking am drinking whatever u drinking

(Chorus)
Niaje do you speak English
Mambo do you speak English
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are

(verse2:cpwaa)
Brainstorm music baby
Hey hey hey hey hey hey……
Hey pretty lady
since I came to this place you are up and down on me
Don’t feel guilty go ahead baby girl wat yu do think is up on me
Forget the rest you’re the best everything turn on me
Is alright is your night hold me tight I don’t bite
Is alright is your night hold me tight I don’t bite
Bonjour
Kulishiwa
Kunjane
Ugonile
Shimbonyi
Hello
Mambo vipi
Niaje
Umeshindaje
Unaendeleaje
Umekujaje
na hapa unaondokaje
niko na anthonio waite wenzio waje
cool time po bata leo tujimwage
Leo tumeonekana kesho kesho wataongea sana
Niko na wife nipo pleeease
Magazeti ya bongo yanaongea sana bwana
Facebook bbm na twiter ustag tag tag

(Chorus)
Niaje do you speak English
Mambo do you speak English
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are
Cause if you do how you are

Umenishika baby umenibamba
Umenishika baby umenibamba
Umenishika baby umenibamba
Umenishika baby umenibamba

Bonge la bwana by Shetta ft Linah

(intro)  
Yo KGt KGT shade G record baaby
Everybody say Shetta de Shetta de Sheta
say Shetta de Shetta de Sheta
Chief Kihumbe the boss

(verse1)
Wezee
We ndio kwangu namba one vicheche nimeshaviacha gizani
Penzi langu kwako kama mzani pima juu chini nishakata tani
Utake nini mi kimbelembele
We mwenyewe Utake pizza utake mchele
Na wansema ulinipa ngedere mmh waache waongee
Hiyo ni gelegele
Na ndio maana nazisaka tu
Hata nikizipata hapa ni bata tu
Hapa kimeshawaka me ni wako boo
Tumia unavyotaka changu chako tu
Kazi kwako duu

(chorus)
(Shetta)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Na ndio maana me nadata na ndio maana me nadata
Umenibeba matamu na mashamushamu hakuna kununa
Kila siku ntadata
Na ndio maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)

(verse2)
Me sio tajiri sio tajiri
Sio tajiri sio tajiri
Ila vitu kama
Less wigi, high heels, leggings gstring
Vyote kuvipata easy baby easy baby
yote nitakizi baby
Sitakupa masizi baby
Ukinitosa nitakuwa kama chizi baby
Yes nilikupata kwa manati sana hapa naenjoy
Wale siwataki mama
Sijagonganisha wasichana
Bonge la bwana toa wasiwasi mama
Sijagonganisha wasichana
Bonge la bwana toa wasiwasi mama

(chorus)
(Shetta)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Na ndio maana me nadata na ndio maana me nadata
Umenibeba matamu na mashamushamu hakuna kununa
Kila siku ntadata
Na ndio maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)
Na ndio maana me nadata (Shetta:bonge la bwana bonge la bwana)

(Shetta)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Shetta)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
(Linah)
Hustle toka way back
Kula tungi ukizimia ntakubeba
Noou Sipush maybach ila kama una madeni me nitapay back
Yes sir me ndio bonge la bwana bonge la bwana na Linah baby

utamu by Dully sykes ft Ommy dimpoz and Diamond

Basi ndio ule utamu utamu
Ulionizidi hamu nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu haramu
Nipe mambo matamu ila  kama hautaki niende

Basi ndio ule utamu utamu
Ulionizidi hamu nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu haramu
Nipe mambo matamu ila  kama hautaki niende

Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Unavyokata utamu utamu

Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Uzuri wako kama wema pale kati
Nimekuteka hata jigga hakupati
Hata wengine wakisema umeshapenda na mimi nakupenda kwa dhati
Sura yako tamu kama Jokate japokuwa baby umekosa kidoti
Darling nipe tena kwa kitanda hata pale kwenye busati
Let me say
Hii mami leo nachoomba onyesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavituz ya dunia hii
Hii mami leo nachoomba onyesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavituz ya dunia hii

Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Unavyokata utamu utamu

Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Simtaki mwingine kipenzi ni wewe
Ndio simtaki

pisto yangu unaikoki(click sound)
Unaanza kuishika shika
Na machozi yakububujika
Mwishoni na yenyewe inakudedisha(paah)

ooh unaikoki mama(click sound)
Unaanza kuishika shika
Na machozi yakububujika
Mwishoni na yenyewe inakudedisha(paah)

Hii mami leo nachoomba onyesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavituz ya dunia hii
Hii mami leo nachoomba onyesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavituz ya dunia hii

Habdsome yule mtoto wa kariakoo
Awesome
Na diamond na pouz kwa pouz

Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Unavyokata utamu utamu

Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu

Basi ndio utamu utamu

Ulionizidi hamu nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu haramu
Nipe mambo matamu ila  kama hautaki niende

Basi ndio utamu utamu
Ulionizidi hamu nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu haramu
Nipe mambo matamu ila  kama hautaki niende

kama ningeweza uje ishi nami huku dar.....till fade

Nataka Kulewa by Diamond

we niache niende niende! niende niende!
niache niende niende, niende niende!

(verse1)
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenikaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

nataka kulewa, Lewa!

mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

we niache niende niende!, niende niende!

niache niende niende, niende niende!

(verse2)
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua
si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga

oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenijaa moyoni

(chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

nataka kulewa, Lewa!

mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi

we niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
niache niende niende, [Kulewa, kulewaa]  niende niende!

[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]