song:always in time
artist>country boy ft T.I.D
producer:messen
(chorus:T.I.D)
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
(verse1:countryboy)
Sikupi sifa mwisho wa siku ujisifie
Unachonipa hakika umenifanya nikuimbie
Nakuita malaika acha shetani nmkimbie
Speed yako inaonyesha umeridhika kuwa na mie
Ni kweli umenikubali haraka sema unazuga
Uko fasta nikikuita unakuja nyuma ya muda
Hupendi mashuuda kuja kwa tukio
Huchoreki na wakuda ghetto unavyoingia mbio
Kama namba nakupa moja,
we ni zaidi ya mwamba,
ngoja nkuanikie story zikakauke juu ya kamba
eti wanakuita mshamba,awajui umenibamba
ulivosec sitoziba pua hata ukijamba
waza kwanza kabla ya maamuzi
Hushobokei mikwanja We sio mbwa augeuki kwa miluzi
Upo on time nikikutaka sina wenge
Una nipa nachotaka sasa kwann nisikupende
(chorus:T.I.D)
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
She got the vibe never seen before
Ananipa knock knock na washkaji
She got the vibe never seen before
Ananipa knock knock na washkaji
Na washkaji na washkaji yeah yeah country boy
(verse2:country boy)
Huna muda wakupoteza ya kesho unafanya leo
nikichoka ushaleta pweza sa kwanini nisikupe vyeo,
we ni mtu wa vitendo kipi nimekosa mumeo,
mkwepa skendo hupend kuharibu taifa la leo,
na unaupeo wa kuisi kama umeumbwa na machale,
upendo uzidi kisha tupige story za kale
nipe hisia za mapenz na mizuka ya kupale,
we ndo ndoto npe hisia za usingizi nkalale,
sifanyi mabaya naisu unaniona nilipo upo
ontime mbaya chunga usiwahi pka kifo,
acha nikupende meridhika kua na ww maa,
dunia adaa,walimemwengu darasa la mtaa,
sifany mabaya naisi unaniona nilipo,
upo on time mbaya chunga usiwahi paka
kifo,acha nkupende nimeridhika kua na ww mamaaa
(chorus:T.I.D)
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
Sipati shida na wewe
Naomba unielewe girl
Always on my mind time time
brought by Country Boy
No comments:
Post a Comment