uswazi take away by Chege ft Malaika

title:Uswazi take away
artist: Chege ft Malaika
producer:Tuddy Thomas

Tuddy thomas
Tuddy thomas

Chegerap

Onanananana eeh*4

(Verse1:Chege)
Unaonekana mpole na kwenu umefunzwa
Kila siku nawaza uwe wangu wa kuniliwaza
Tukale kuku wa kupaka
baadae tukaluke majoka
Usiku tufurahie (furahie)
Mbona muda unaenda hutokei (you my baby girl)
Simu napiga haupokei (baby wapi ulipo)
Usipokuja utanikwaza
Bora ungesema
Kama hupendi uswazi tungeenda sinza take away

(Chorus:Malaika)
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday*2

(Bridge:Malaika)
tukutane uswazi
Uswazi take away
we do meet everday
Tukutane uswazi
tukutane uswazi
We do me meet everyday

(Verse2:chege)
Mbona muda unaenda hutokei
Simu napiga haupokei
Siku moja moja mpenzi
Sio vbaya Kujichanganya uswahili
Mbona kama kawaida
Tuzunguke huku na kule
Uswazi mbona mwake
Kama nyama ni ile ile
Hakuna kinachochange inside
Si utakuja na linda lazima atapapenda
Tukutane mida ile ile tuliyokutana jana night

(Chorus:Malaika)
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday*2

Mbona naona unazingua bdada unazingua
Mbona naona unazingua bishosti unazingua

Uswazi mbona fresh kila siku bata
Uswazi mbona ndio kwetu kila kitu unapata

(Chorus)
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday*2

tukutane uswazi
Uswazi take away
we do meet everday
Tukutane uswazi
tukutane uswazi
We do me meet everyday

Everday everday everday
We do meet everyday me na we...till fade

No comments:

Post a Comment