title:Hello
Artist:Grace Matata
producer:Duke
(Verse1)
Hello hello baby kila kitu ndivyo sivyo
Ila Nimekuja tu mi nilivyo
Itakuaje
I Was thinking maybe
Tukienda taratibu
Tutapata majibu
unaonaje
Maisha ni magumu tumekwama humu
Itakuaje itakuaje
Hawajali walimwengu wakali
Tupo mbali na nyumbani
Tukiwa wawili najua hatutafeli
Kaa nami imba nami
(Chorus)
Taratara tara tata tata imba nami
imba nami imba nami baby*4
(Verse2)
Yeah eeeeeh
Hello hello baby hofu mimi ninahisi
Kupendana sio rahisi
Itakuaje
I Was thinking maybe
kama tukiamua
pamoja
Tutakuwa
We can grow
Nje baridi nayo inazidi
Inazidi inazidi
Tukiwa wakweli tutafika mbali
Kaa nami
Imba nami
(Chorus)
Taratara tara tata tata imba nami
imba nami imba nami baby*4
imba nami imba nami imba nami baby*4
---------
thanks to Grace Matata
No comments:
Post a Comment