Hoya c9 ganja inakatazwa lakini dawa ya sikio
(Chorus)
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
(verse1:kitale)
Sepetu sepetu (maepe)
mtoto akilia mlete
Sepetu sepetu (maepe)
mtoto akilia mlete
Mtoto amekuwa na jina amepewa
Mtihani wa la saba mwanangu amebukua(jiniazi)
Hata walimu wake shuleni wanamjua(mwanangu huyo)
Akipewa pepa lazima
ataibia(duuh)
Tatu mara tatu tisa
Tisa tisa mia
hoya masela tatizo mwanangu ana ugonjwa wa kusahau
You crazy and your dad too men
Ooh mama
(chorus)
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
(verse2:kitale)
Mwanangu amekuwa na jina amepewa
Na mpaka sasa mwanangu anajitegemea
Cha ajabu nashangaa wanamshobokea
Nilichogundua wanataka kumuondoa
Mwanangu amekuwa anataka kuoa
hoya baba sio kuoa me nataka kuolewa
Hoya masela tatizo mwanangu akitoka kulala anajilopokea
(sharo milionea)
Ooh my God
Shika piga chapa chapa
Piga mgongo shika chini piga paka paka
Toto lile lile pale
Toto hili la kitale
Toto linapenda sana kunywa pombe
Toto linapiga ngeta we usiombe
Linapenda mambo yake ya utata
Vita vita linapiga ngeta
Linadundika linapita na nyavu linakata
Ana visa Linajiita komando mtata
Toto linapenda sana kunywa pombe
Toto linapiga ngeta usiombe
I got you hasira hasara hasira hasara
I got you hasira hasara hasira hasara
(chorus)
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
Hili toto bwana linawekera watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Hili toto bwana linaamsha watu
Nimelituma chipsi kaniletea viatu
Nimeletewa kesi limemwaga bagia za watu
Mwanangu ebu waambie shuleni ulkua unapenda kipindi gani
(mapumziko)
(verse3)
Umekosa kazi sababu ya hili toto
Umekosa mke sababu ya hili toto
Hili toto bwana linawakera watu
Hili toto bwana linawaboa watu
Hataki kusoma anataka kucheza
Muda wa shule anajificha chini meza
Sasa hataki kuoa anataka kuolewa
Muda wa shule anajificha chini meza
Sasa hataki kuoa anataka kuolewa
Moro nyumbani ndipo ulipotokea
hata siku moja
hujaenda kusalimia
Moro nyumbani ndipo ulipotokea
hata siku moja
hujaenda kusalimia
Nasema utakufa nacho kijiba cha roho
utakufa nacho kijiba cha roho
utakufa nacho kijiba cha roho
Ustadh juma juma na msoma
Mtoto wa wachupa mtoto wa pakacha mtoto wa kuchoma vidaleki
shashibela
Mtoto wa wachupa mtoto wa pakacha mtoto wa kuchoma vidaleki
shashibela
Mwananyamala nyumbani nipo mbali kidogo na kituo cha polisi
Mbuzi kafia kwa muuza supu
No comments:
Post a Comment