Verse One
Im from Dar es salaam but now i lay ma hat in
Chitown/Where they on that
Larry Hoover shit aint no fake clowns/Plus u can also
catch me out in the
DMV, Maryland, DC, "Virgins-here" gettin the head for
free/But in ma
mindstate not in New York not at all/Coz i dwell from
real jungles and not
the concrete walls/Like a message that im sendin to
your mail im
posted/With ma two feet on the ground and yes so
closely/Start ma
observation freedom be the declaration/even by the
way of blood gonna grant
me my independence/By any means necessary even
way of violence/ And so to
speak lets all have a moment of Silence/"Amen", "Ina
Ilah" for those who
passed Dead/Reading aint got nothin to do with
knowin whats "Read"/When you
are color blind smeared with fieces just to cover
blood drastically/
Im a lyrical columbine thats why they be askin me/
Chorus
where u at nigga (Nipo Mtoni)
they be askin where u at nigga (Nipo Mtoni)
na nnaposema nipo mtoni simaanishi Azziz Ally/
ila ninachosema inabidi kutafakari/
nipo ndani ya Chicago, Chi town ukijali/
ila ninapotoka ni Ukonga Stakishari/
Verse Two
Verse ya pili nakuja kwa kiswahili/ na hiyo ni kama
dalili ya kuonesha
umahili/ Lyrically mimi ni Jando cheki nnavyowatahiri/
Ila yote tuweke
kando tatua huu ushairi/ Kuvuka vipingamizi inataka
ujasiri/ Kama mwenye
kigugumizi kusimulia yalojiri/Utahitaji zaidi ya ishara
kupata picha
kamili/mi "Solo" nipo Imara nafuata "mkondo" kama
"Msafiri"/
nimeondoka Bongo kwa "pipa" nanyea "debe" mtoni/
natumai kurudisha
walichoiba wakoloni/ ila toka nimefika mimi na
pombe mkononi/ Na taswira ya
Afrika ni tofauti na ya masomoni/ Nipo fiti na kurudi
labda siku za
Usoni/Naweka "uso wa mbuzi" kwa hawa ma Pig ki
"Capricorn"/ Honestly
speaking lyrically wala hawanioni/ Ni mimi nnae
waacha "Uchi" kwa matusi ya
"Nguoni"/
Chorus
where u at nigga (Nipo Mtoni)
they be askin where u at nigga (Nipo Mtoni)
na nnaposema nipo mtoni simaanishi Azziz Ally/
ila ninachosema inabidi kutafakari/
nipo ndani ya Chicago, Chi town ukijali/
ila ninapotoka ni Ukonga
No comments:
Post a Comment