JIPE SHAVU by AY FT FID Q



Verse 1:
Nachana style zaidi ya kumi bado kiwango same/
Kwenye speaker unamsikia mastermind wa hii game/
Toka BC game,mpaka AC game/
Wanajaribu hata kugeza hawana Edu-Tain/
Nasmile,wanavyoscream M BACK AGAIN/
Chillax,usipanic kwani where have you been/
Bila msoto maisha haya mjomba huwezi gain/
Kanyaga moto acha utoto then life maintain/
Napata moyo navyosikika toka Jozi mpaka Lagos/
Bado mnakuna vichwa level hizi chafu mikosi/
Nimetoka mbali na hii game bado naidai/
Ndio maana sivimbi kichwa na Ufame till I die/
Usiwe bingwa wa kuhonga na home wanalala njaa/
Nyumbani umeacha mboga moja ka komba ulala
baa/
Ujanja kuweka heshima nyumbani na is kuweka baa/
Unashangaa?? Stuka huu sio muda wa kuzubaa

Chorus:
(Fid Q)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

(AY)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

VERSE 2:
(Fid Q)
Jipe shavu.. kabla haujajipa uwe na hizi na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa..
una cash- money.. wewe ni hustler.. fulani../
Ulikuja na DASH kama DAMON ukazi-Chase kama
DAMIAN/
jipe shavu ukiwa na ubavu wa u - billionea/
Haters watashow LOVE kwa HI 5 everywhere/
'' C E O wa CHEUSIDAWA TV'' yeah.. iliyoanza kwa
flipcam/
ukinikuta club utapagawa.. njoo u-Sip some/
Flow hizi tamu/ zinaleta SNOWS ndani ya DAR ES
SALAAM/
na mie ndo BOSS bado haujanifahamu?/
TROUBLESOME..na hizi lyrics sio bubble gum/ Multi-
Syllabic acheni ubishi hii sio double rhyme..

Chorus:
(Fid Q)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

(AY)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

Verse 3:
Beware,usinifuate shika nukuu,fanya mbwembwe
huko uliko ila usije njia kuu,
Mdundo mzito wa Q
Michano ya level ya juu
Kazi inaisha kabla ya kuanza mbele ya me and Fid Q,
Ukitaka kunijua jiandae kujilaumu
Bora uhairishe zoezi kubakie tu kunifahamu
Jipe shavu ulikuja mjini mnyonge mzeiya sasa una
mabavu,unasurvive,na wengine unawapa shavu
Jina lavuma Afrika nzima nazidi tu kujituma
Nyuma na support nzima Mtwara to Musoma
Dar to Kigoma ,A Town,Moro to Ruvuma
Tanzania nzima so unatamani hata kugoma
Umenisoma?mchaka wa soka ka mchizi Chonka
Chini kwa chini ka Inju bin Unuki mi nasonga
Mkononi Michael Kors na 3 smart phones
Border nazidi cross huniambii we bitozi
Simu nyingi zinazotoka na kuingia ni za biashara
We bwabwaja,scratch yo balls mzembe zidi lala
Ujanja kupeleka faida bank ya ile uliyoinvest
Bora uhairishe kabla hujaniface

Chorus:
(Fid Q)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

(AY)
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una
hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2

No comments:

Post a Comment