Usijisahau by Doctor Fazi Ft Silvia n Raymond (The Free style Master)


Studio: G2G Records (Green City)

Producer; Ahaz


Intro; (By Doctor Fazi)
From Green city (G2G Records) hii ni kwa ajiri yako
Mamy,
This is how it is supposed to be done, very new, very cool
Usijisahauuuu, usinidharauuuu From Green city

CHORUS (By Raymond)
Niwewe sitokubadili, nakupenda sana sio siri
Mabaya usiyafate sio Dili, Nakupenda weeewe aaah
Usijisahauuuu, usinidharauuuuu usinidharau
dharau
Dharau Mama weeee

VERSE 1 (Doctor fazi)
Ulikuwa beautiful (Msaaafi) kuliko Nancy SumaRY
Baada ya ndoa ndio ukawa hujijaRi
Nami sioni hataRI, kukwambia ukweLI
Siri haistiRI uhai wa penzi la kweLi
Yanini chambo kwa samaki uliyemvua, umeridhika
umenivUA
Haujajua warembo ni wengi kwako naweza potEA
Usijisahau usilete dharaU, nikipanda nikishuka
usilete nahaU
Za kebehi na dharau ukasahau, nimimi
niliyekupandisha daU
Usiwaige vichiriku wenye u bi cha U, Sipendi kati yao
uwe wao mdaU
Kumsabahi mama ulipiga goTi, leo unabonyea
nakushtua kijoTI
Kisa pamba ni saaafi, za white, za kutokea nighT,
(weeewe)
Hera ya shoping hutaki laki laKI, (huna adabu)
Unataka mamilioni aaaah aaah hunitendei haaaaKI
Sio desturi za warmbo wakinyaKI
Sio tamaduni za warembo wa kinyakyuSa, (wa
Mbeya City)

CHORUS (By Raymond)
Niwewe sitokubadili, nakupenda sana sio siri
Mabaya usiyafate sio Dili, Nakupenda weeewe aaah
Usijisahauuuu, usinidharauuuuu usinidharau
dharau
Dharau Mama weeee
then

Verse 2. (By Sweetyrito Silvia)
Nikikumbuka mwanzo, mwanzo wa mapenzi mi
nawe
Oooh toka enzi zile minawe (hatujaona * 2)
Ulinionyesha real love, nikawa your (only Baby Love *2)
Leo umebadilika umejisahau kabisa , kabisaaa,
Hutaki tuongozane weeewe, mavazi nayo unipangie
weeewe
Na kazi nazo hutaki nifanye mieee!!
Hutaki tuongozane weeewe, mavazi nayo unipangie
weeewe
Na kazi nazo hutaki nifanye mieee!!

Brigde (Doctor fazi)

No comments:

Post a Comment