(verse1):Fid Q
Nilipotoka mbali na ninaheshimu nilipo
sikuwa na umuhimu kihivyo
stimu zikanipa elimu ya Biko
Kimaandiko
kimistari..
hadi fans wanascream nikirap
sikuamini kama nina zali mpaka nilipoidream hiphop
Wanapagawa…. Na baadhi ya mambo nayoyajua
pia nina uwezo wa kufanya mpaka madawa yanaugua
Wanapagawa na nyimbo ngumu hawa #teamMabiiitoz
Achana na power window.. sijui rimz za dimpo
haileti bingo, mshiko? Star ishi simple
sanaa iko hivyo sometimes.. hukataa kukaaa ulipo
wanaodharau.. hujiletea matatizo..hawajui kama
wadau hupendelea kukuona hivyo
bonge la staa.. donge la njaa.. hauna kitu
jikombe ugongwe…mtaaa ukuone hauna ishu
ukishindwa kujiandaa… jiandae kushindwa
mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda
Usmati anaotinga, majumba mandinga ya bwana Almasi
je hizi track za harakati ni ujinga
HAPANA…. nguvu ya mamba ni maji
na umaarufu au kutamba.. kushika namba ni bahati..
sio kipaji kama Kubanda eti unachana kigumu
kisa track ikivuma sana kwenye chati haidumu
Amani kwa chachage na MAKUWADI wa SOKO HURIA.
baba asante kwa UTAFITI na ZAWADI ya ALMASI ya BANDIA
NYUMBANI… nasikiliza DUNIA YA SASA ya MARIJAN
najiuliza tutarithi nini ikiwa IMANI ishakwisha tangu zamani
labda kubisha na wakinitisha najihami
inasikitisha unapoibiwa na aliyekupigisha ni jirani
‘’ Pole MAPROSOO’’ uhujumu –uchumi umefanya umetubu
WAZEE ni wahuni hadi soo waay back before SUGU
Taifa la kondoo.. huendeshwa na serikali ya Dubu
na MBWA MWITU wenye siri.. ili bepari umuabudu
kimahakama, kiserikali, kidini umsujudu
huo ni utumwa pia
Unafanya vijana wanaumia.
Tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glass ya bia
CHORUS: ( Juma Nature )
Siri ya mtungi aijuaye kata
komaa… kaza.. kisha utapata
Siri ya mtungi aijuaye kata
komaa… kaza.. kisha utapata
Siri ya mchezo naijua mimi
tu.. na hakuna mwingine
Siri ya mchezo naijua mimi
tu.. na hakuna mwingine
(Verse 2):Fid Q
Tofauti ya BIASHARA na SIASA ikila hasara inaweza buma
wakati SIASA kila mara ukiwa unang’ara ujue kuna
kinara anayeunda msafara wa wanaojituma na
kuchuma kwa kukufanya uwe imara hapo hasara hakuna
KIDUMU CHAMA CHA MASELA…
Ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera
tuone kufuru za wenye hela
TANZANIA ni ‘ demu wa mtungo ‘ wanamuiita CHA WOOTE’’
HANGOVER .. ‘’anaikimbia kwa kupiga ‘ “ mtungi “ saa zote
Mkubwa anazuga atasolve… matatizo ya nchi yake
‘’na gari bovu..’’ halisukumwi kwa kukaa ndani yake
MAENDELEO ni ile ndoto..MWEZEKAJI ashaipuuza
je Kukaa karibu na moto ni kuuota au kujiunguza
hakuna UHURU wa kweli (Africa) msidanganywe na illusion
na daily tunafeli sababu ya POLITICAL institutions
CIVILIZATION imeadvance sasa wanatuua economically
hakuna utumwa mbaya kama ule wa kujiona uko free
Kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu
kila ganda litakutoa machozi na utabaki macho juu
Ukishafika kwenye kiini niambie nini utagundua
zaidi ya mafaili yaliyounganika utaghairi kuyafunua
Wamejivisha U-NOAH.. SAFINA zao zikatoboka
Wakajivisha U-MUSSA.. FIMBO zao hazikugeuka NYOKA
sasa wanaujaribu Umungu mtu kuamua leo nani atatoka
CHORUS: ( Juma Nature )
Siri ya mtungi aijuaye kata
komaa… kaza.. kisha utapata
Siri ya mtungi aijuaye kata
komaa… kaza.. kisha utapata
Siri ya mchezo naijua mimi
tu.. na hakuna mwingine
Siri ya mchezo naijua mimi
tu.. na hakuna mwingine
mdudu by solo thang ft mr.blue
mdudu by Solo thang
INTRO
(DE FATALITY MUSIC)
YOU KNOW WHAT TIME IT IS
ITS YA BOY BACK (HELLO HELLO HALOOOO)
SOLO THANG (ULAMAA)
AAAAAH THIS TIME AROUND
I THINK WE NEED "DUDU KILLER" (LETS GO NOW)
(VERSE 1)
EYO NAKUPA MFANO NJAA ,NA HUYU MDUDU WANAFANANA
SI UNAKULA KILA SIKU ,ILA NJAA INARUDI TENA
MDUDU ANACHEZA NA FEELINGS DAWA KAIIMBA MARVIN GAYE
(SEXUAL HEALING?) , HAUPONI MDUDU YUPO EVERY DAY
SIO KUNGUNI ILA ,NAE ANAPENDA KITANDA
NDIO LOCATION KAMA MOVIE, ACTION- KUNG FU PANDA
YE ANAPENDA NJIA PANDA KAMA UMBO LA MANATI
NDANI YA FIKRA KAKUJAZA KUWA, NISHATI MIHADHARATI
SIO FUNDI BILA SPANA NA, ANALEGEZA MACHO
HAKITOSHI ULICHONACHO SHARTI UPATE CHA MWENZAKO
YE NDIO CHANZO CHA MAYAI ALIPOMVA KUKU
NDIO KISA JOGOO HUWIKA WEWEEE MAMBO IPO HUKU
HAICHEKESHI WE UNACHEKA, NDIO UJUE TAYARI
HAKUNYESHI WE UMELOA USIJISHIKE TAFADHALI
NA SIO SHETANI USEME ANAPANDA KWA UBANI
NA SIO WA KOKWA LA EMBE NAMBIE NI MDUDU GANI??
(CHORUS)
CHEKI MDUDU ANAVYOWASHAAAAA (washa washa)
ANANIFANYA NINAKUA BWEGE
AKILI ZINAKUA NA MATEGE
ANACHOTAKA NDIO NAFANYA ANACHOTAKA NDIO NAFANYA!!
(VERSE 2)
SI BORA ANGEKUA PANYA UWEKE SUMU AMA MTEGO
PALE PALE KWENYE SHIMO HAHAAAA NDAGA FIJO
WATU NATEMBEA NA "PUMP" KAMA MAFUNDI BAISKELI
KAZI KUJAZA WATU UPEPO NA "BLADDER' ZINAJAA KWELI
HANA SINDANO SIO DONDORA USEME MPIRA KAUTOBOA
BILA ZANA USICHEZE RAFU, REFA KADI ASIPOTOA?
WE HAMIRA YE NI NGANO LAZIMA MMOJA ANAVIMBA
OGOPA SANA HUYU MDUDU ANATISHA KAMA SIMBA
KANGA MOJA NDEMBE NDEMBE ETI LAKI SI PESA
NA HAUWEZI KUISHI KAMA BURUDA BROTHER KAKA UTAJITESA
ILA MDUDU AKIKUPA NGOMA NENDA KANUNUE GUITAR
NDIO SAFARI UNAENDA ANZISHA BENDI KAKA FUTI SITA
SIO MBU USEME UTAPATA MALARIA
YE ANASAMBAZA UGONJWA AMBAO UNAITWA SEX-ERIA

(VERSE 3)
UKIBANWA NA KIKOHOZI, NI LAZIMA UKOHOE
VIPI UKIBANWA NA MDUDU JIBU NENDA KAKOKOTOE
JAMAA KASHIKIWA PANGA AKAAMBIWA LAMBA MCHANGA
AKAGOMA AKATOKA NDUKI BREKI YA KWANZA KWAO UPANGA
JOLY, KAMKUTA DEMU, YULE DEMU AKAONYESHA SHANGA
HADHARA NDIO IKAWA CHUMBA!, MAANA MDUDU KASHAPANDA
SIO KWAMBA ALIKUA NA NJAA, ILA 'SHAWTY" KALA KONI
SI ANA KIU? MPE MAJI SASA BROTHER KULIKONI??
YEAH SIJAPATA KUONA MKATE MGUMU MBELE YA SUPU
VIPI NGOZI ZA UDONGO MZIGANDISHE KAMA SUMAKU?
INGAWA UMBO SIO CHAKULA, WATU UDENDA UNAWATOKA
UTASKIA KASHATAFUNWA, JIULIZE MWILI BANZOKA?
HUU MCHEZO USIO NA DRAW, LAZIMA MTU APIGWE BAO
UCHU KAMA MPENDA NYAMA, HAWA WADUDU NDIO ZAO
NA SIO SHETANI USEME ANAPANDA KWA UBANI
NA SIO WA KOKWA LA EMBE NAMBIE NI MDUDU GANI?

drive slow by JCB ft Prof J
Kwenye corner homie x4
(chorus)
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye corner homie
Drive slow homie
you never know homie...
Mambo mengi yanatokea kwenye lami homie x2
(Verse1-JCB)
Punguza kasi kuna upepo mkali
120 haifai 80 afadhali
Ila tazama kuna kona kali
Toka kwa mbali
Trafiki wanajari ili kuepuka ajali za barabarani
Nazilaani kwenye lami napenda niione wami kama road za kilani
Me ni msomi kama sami ndio maana sipishani kwenye road
Kama madereva wa bedfod au pikipiki za toyo
Naogopa kuwa bodi na sipend offer au gar ya kukodi
Napenda kurekodi kama snoop dog
Hulali kama nyange na manongi
sema speed kali kwangu hainogi
Mfano mpo nyomi kwenye lami mnatoka manyoni
Dereva yuko kasi kwenye kona hona haioni
Jesus Christ bus ikaclimb
(chorus)
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye corner homie
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye lami homie x2
(Verse2.prof J)
Ajali wewe ndio umemchukua mama yetu mpenzi
alipokua akivuka barabara maeneo ya mbezi
Tunamiss upendo wako na tunakuombea kwa mwenyezi
Na mama pumzika pema daima tutakuenz
Dereva ebu simama pale unapoona zebra
Ona umemgonga mama na maisha ameyapoteza
Kinachotuuma zaidi eti sheria imemuachia
Daima tutakulilia muuaji hana hatia
Binadamu roho mbaya sasa imegeuka mtaji
Unampiga tofali wakati anakuomba maji
Drive slow drive slow uwe na lori au bajaj
Wanamuua majeruhi hili wagawane ulaji
Na nyie kwenye bodaboda mbona hamjavaa helmet
Mmepanda mishikaki na hii tunaiita hell on earth
Drive slow mbona mnachezea maisha
Trafiki wakamate au rushwa imehararshwa
Dereva anaongea na simu mwendo kasi kwenye kona
Anaovertake blindly bila mbele kuona
Kwel safari zetu sasa ni kufa na kupona
Na tiktak boom ndio kitu nachokiona
(chorus)
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye corner homie
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye lami homie x2
(Verse3-JCB)
Nimeshamkosa shangazi
Wengine wajomba ndugu na wazaziSio kwa maradhi kwa ajali
wengine vilema kwa bajaj
Kwa speed kali au kilaji
Pombe mbaya sana inachangia uone kona mchala
Dereva unageuka vipi nyuma kisa umeona msichana
Umepakiza beer vipi unaagiza beer
Msambiat ukikarbia utakumbuka gear
Ulevi unachangia ajali asilimia mia
Kila mahali Hata ulaya pia
Tungekuwa na mabawa tungetumia
Tumechoka kuona ndugu zetu wanavyoumia
Bila kutumia akili
Askari unampa leseni learner tena class C
Kwa kilo mbili
Tutaepuka vipi ajali
Kama tunauza utu na roho kwa hali na mali
(chorus)
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye corner homie
Drive slow homie
you never know homie
Mambo mengi yanatokea kwenye lami homie x2
(outro:Prof J
Majeruhi wengi sana wanafariki dunia
Wakisubiri pf3 wakatibiwe
Serikali ingeweka vitengo hivi muhimu
Karibu na hospital hili majeruhi wasaidiwe
Labda tungeweza kuokoa maisha yao
Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika amen ..
Jcb and prof J

tema mate by Madee
Made umebadilika
yeah sisomeki
Wachaga zoba Wachaga zoba Wachaga zoba
Mimi mimi madee x2
(verse1)
Aliyepanga ni mungu
Wanaleta majungu
Me nawapa uchungu
navyowapanga kwa mafungu
Unaniiga unanifuata
Me nipo nzese nakula bata
Demu wako sijamtaka
Ukimkuta ghetto we ondoa shaka
Wanatememeka wanaweweseka
Wanavyoenyeka ninavyopeta nawatesa
Wanatetereka wanavyomegeka wanakekereka
(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2
(bridge)
Wengi madogo
Kaz kusema uongo
Ndivyo walivyo wabongo
Na zao longologno
(verse2)
Wanachuki na wivu
Wanact marafiki fake
Me bahari sipigwi deki
.....(Madee umebadilika) ye sisomeki
Wananuna nuna tu jinsi me navyovuma
Wanabuma buma tu
Kuwa mbao me ntabaki chuma tu
Me sinaga habari zao
Kusema semaga tabia zao
Ntawatusi kwa mama zao
(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2
Yani leo tukeshe
Yani leo mpaka siku iwe nyingine
Kama vuta nyonga ilimradi tufurahi leo
Kama unaweza gonga mademu wako ndani leo
Kama vuta nyonga ilimradi tufurahi leo
Kama unaweza gonga aaah
(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2
haya haya haya haya haya haya........
wamekata kabla ya corner
(beat plays till fade)........

kabinti by Dully Sykes
(Intro)
Wedamalanga
Tindwa
Yes
Asante sana studio 425
Dully sykes brazamen
Guess what am in love...
(chorus)
Nimegundua kabinti special kabinti special
Nimetambua kabinti special kabinti special
Nimegundua kabinti special kabinti special
Nimetambua kabinti special kabinti special
Special for me
(verse1)
Ni yeye mtu wangu wa karibu Akiniacha kidogo nakosa raha
Ni yeye Akinipa zabibu ya moyo nakua kama kichaa
(bridge)
Ndio kale kabinti specia mwenzenu nataka kuoa hatari
Mke wangu wa kesho mwenzenu nataka ndoa

Ndio mie nikubal mapenz ya dhati na raha kila saa
Usinikimbie ukanipa wakati mgumu nishindwe kula raha

Uh uh uh uh (piano plays…)
(chorus)
Nimegundua kabinti special kabinti special
Nimetambua kabinti special kabinti special
Nimegundua kabinti special kabinti special
Nimetambua kabinti special kabinti special
Special for me
Piano plays……till fad

Monifere by Gosby feat. Vanessa Mdee and Jux
Intro
Jux
Monifere my babeeeeee
Vanessa
Mshike mkono mshike mkono/ mfuate pale alipo mshike mkono
mvute kisha mvute mkatike mkatike mkatike kisha mkatike
Chorus
You know it's you Monifere my baby
just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2
Verse - Gosby
I wanna show the world that you're my girl
Don't worry I got you girl
Prada, Gucci, Fendi girl
usiniambie hupendi girl
I said I got this em paper girl
kiss you in public I don't care
Touch you in public I don't care
Squeeze you in public I don't care (you know why)
Coz love is in the air
hawana kitu wanaleta umbea umbea
I'm not doing ish zaidi ya kuwaombea
Em bitches they like coco
Huh you need a beach I can you buy coco
I'm so fabolous do you think I'm Loso
you thirsty I can get you cocoloso
lets make love while we listenin' to Azonto let's go
Chorus
You know it's you Monifere my baby
just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2
Verse 2 - Vanessa
I don't wanna be just any girl
Save my number as baby girl
Material things they can't buy my world
take a dive in my ocean and find your pearls
I know you got that thing called paper boy
Kiss me in public I don't care
DP on BBM would you dare
Facebook status I don't care (You know why?)
I definitely know that you're my guy
Na hata wakisema kwamba najidai
I don't mind,I know they jealous cos we fly
and we keep on elevating cos we on cloud nine
Peter Parker picked a pair of perfect pickles
That's how you perceive me baby
I know I'm your equal
Put your pride aside and tuck away your ego
Actually bring it back - I love the way we mingle,
Chorus
You know it's you Monifere my baby
just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2
Bridge - Vanessa
And if you spot that guy
u wanna claim him tonight
Mfuate pale alipo mshike mkono mvute kisha mkatike
mshike Mkono mkatike, viuno vikate
legeza kiuno kikate ayyy aiii!
Bridge - Gosby
And if I spot you gal mbona utakoma tonight
Nitavyokuingiza ndani halafu baby nitakuambia ukatike
ebu fanya ukatike
halafu baby ukatike ebu fanya ukatike eyaaaaa
Chorus
You know it's you Monifere my baby
just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2
Jux Moniferee my baby yeeeaaaahMoniferee my baby ohoooo yeeaah mmmhMonifere my baby aiiiiii yeaaaah

number one by diamond
Kwanza mapenzi safari….Ujana ni
Maji ya Moto….Walinenaga zamani….
Pili tumetoka mbali kwa matatizo
Changamoto tuvisa visa fulani……
Oooh tatu kidonda chako kwangu
maradhii
ooh yaani usononekapo kwangu
simanziii x2
Kwa mahaba Ulionipa nimenogewa
Vurugu patashika ahh punguza
aaai kidogoo!!
Na mengine kadhalikaa mtoto
si unanielewaa!!
Apo apo uliposhika ukiongeza
kidogooo!!mmmh mwenzako ntaumiaa!!
You are my Number one
My sweety sweety Number one
My baby oooh you are my number one
My Darling ,my Number one
oooh Roho yangu mama,my Number one
You are my Number one
My sweety sweety Number one
My baby oooh you are my number one
oooh Roho yangu mama,my Number one
Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujuaaa!!
so usije kunilaghai nikaja kuzama ukanizingua
Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujua!!!
so usije kunilaghai mwenizio naogopaaaa!!
Now show me how they do ngololo ahh ngololoo ach ngololo Aghhhha ngololo ngololo ngololo
and show me how you do ngololo ngololo ngololo ngololo ngololo ngololo
You are my Number one
My sweety sweety Number one
My baby oooh you are my number one
My Darling ,my Number one
oooh Roho yangu mama,my Number one
You are my Number one
My sweety sweety Number one
My baby oooh you are my number one
oooh Roho yangu mama,my Number one
Ahhh oooooh…….ooooh baby
you are,oooh baby your are
Now show me how they do ngololo ahh ngololoo ach ngololo Aghhhha ngololo ngololo ngololo
and show me how you do eeh
aah stai aipoo aay aha aipoo
..Na…….Watuache tulale………..
Subscribe to:
Posts (Atom)