[Intro]
(Fal-safa)
(Sounds by Abbah)
[Verse 1]
Baraka nyingi kidogo nimwambie Mungu, Mungu akubariki
Sio buku sio laki
Ameniondolea loki
Siku hizi sifungui mdomo so siingizi shoti
Shari zote zina kheri ndani so silalamiki
Na hasira ninazo kweli ila hasara hazinipi
Napenda maisha kama yalivyo mi kwake mshabiki
Naangusha moja moja niite Kamarade Choki
I came prepared, najua Dunia haina haki
[Chorus]
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?
[Verse 2]
Kofia ka Che Guevara
Ego size ya Venezuela
I go commando on em,mi ni Marley na The Wailers
Siogopi tena haya malimwengu ni ufala
Kama ipo ipo tu hakuna atakayeipora
I'm not in danger I'm the danger
Usifumbe macho pay attention zipo ishara
Tusemе akili ni nywele mbona wanazo wenyе upara?
Ukiuvimbia ulimwengu ni wewe utaegaragara
[Pre Chorus]
Nazimia nnavyojiskia hii sio feeling ya hasara
Fanya mahesabu,nzuuri kwa biashara
[Chorus]
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini, ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?(come again)
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini, ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?
[Verse 3]
Chairman of The Board kama Frank Sinatra
Halafu casual tu,nishaacha kuogopa
Nafahamu nlipotoka, sikuanzia hapa
Mtu wa maana kabisa, mfano nnaofaa kufatwa
Nataka vyote kwa pupa man na nnavipata
Wanaoniombea mabaya hawajajua jinsi ya kuomba
These mother**** never loved us, na tuko hapa
Nguvu ya Mungu haiwezi shindwa, maacho yanawakodoka
[Pre Chorus]
Nazimia nnavyojiskia hii sio feeling ya hasara
Fanya mahesabu, nzuri kwa biashara
[Chorus]
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?
Usinipime, utavunja huo mzani
Niskize kwa makini ka' Mwalimu mgeni
Baraka ni nyingi siwezi zimaliza mimi
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani?
[Outro]
(You know the Sound)
'Tavunja huo mzani
(The Mix Killer)
Mi naomba kwa Mungu mwenzangu unaomba kwa nani
(Abbah)
No comments:
Post a Comment