Uhakika by Ibrah

 [Intro]

yeeah

Its Cukie Daddy

Its Chinga

Naimba tena mapenzi

yEaeh, ooooh

Aaaah, eeeeh


[Verse 1]

Ukubwa ndioo, umri wangu uuuh

Ila mapenzi yako yananirudisha utoto utotoni

Upendo wa dhati ndio, dhumuni langu uuuh

Nikuimbie tenzi ukisikia baridi nikupe joto "joto" aah eeeh

Chonde tulia na mimi, na siunajua mapenzi pesa hapa mjini

Nawe ukiwa wakupita kuchovya sitoamini

Na ukiniacha sijui kama nitapenda tena mimi

Aaaah, eeeeh


[Pre Chorus]

Kama siku ukienda mbali nami nitaumia

Sizani kama nitaweza kulala sa nitawezaje kusinzia

Zipu usimfungulie jirani tuliaa

Hata mkiyafanya kwasiri ndani nje watasimulia

Nitaumia


[Chorus]

Shida sinaa, uhakika kama unanipenda babe

Kweli? Hivi nikweli?

Unanipenda kweli?

Sinaa, uhakika kama unanipenda babe

Kweli? Hivi nikweli? kweli

Unanipenda kweli?

Unanipenda kweli?

Sina uhakika me

Sijui

Aaaah, eeeeh


[Verse 2]

Nakama ikitokea ukaniacha naumivu utayonipa wee hayaelezeki

Nitateseka mi siwezi kufakе nitaumia, nitaumia

Nakama ikitokea ukapata unaehisi anaenda na wеwe

Na ukaniacha mwenyewe hayaelezeki

Nitateseka mi siwezi kufake nitaumia

Nitaufunza moyo kuvumilia kwa mengi

Chunga tamaa macho yanaona mengi

Popo mbili zavuka mto hizoo

Ukienda mbali nawe unanitafutia matatizo


[Pre Chorus]

Siku ukienda mbali nami nitaumia

Sizani kama nitaweza kulala asa nitawezaje kusinzia

Zipu usimfungulie jirani tuliaa

Hata mkiyafanya kwasiri ndani nje watasimulia

Nitaumia


[Chorus]

Shida sinaa, uhakika kama unanipenda babe

Kweli? Hivi nikweli?

Unanipenda kweli?

Sinaa, uhakika kama unanipenda babe

Kweli? Hivi nikweli?

Unanipenda kweli?


[Outro]

Its Chinga

Its Chinga again

No comments:

Post a Comment