hongera marafiki wote waliograduate mwaka huu



blog yako ya kibabra..inawapa hongera marafiki wote waliograduate mwaka huu kuanzia level ya primary school mpaka university ..na inawaombea kwa Mungu mpate mafanikio katika level mbalimbali mnazoendelea nazo...PAMOJA

cheka na mimi


kama mawazo yako ni machafu don't ever try to watch this......teh teh only clean mind allowed

angalia video mpya ya Stanboi -round and round

Stanboi-round and round

albamu mpya

album cover
1.kutoka nje ni.talk that talk ya Rihanna
ni album ya sita ya mwanadada Rihanna
hii albamu imeshuka sokoni tarehe 18/11/2011


list ya nyimbo zilizomo
1. You Da One
2. Where Have You Been
3. We Found Love (Feat. Calvin Harris)
4. Talk That Talk (Feat. Jay-Z)
5. Cockiness (Love It)
6. Birthday Cake
7. We All Want Love
8. Drunk On Love
9. Roc Me Out
10. Watch N Learn
11. Farewell
12. Red Lipstick
13. Do Ya Thang
14. Fool In Love
15. We Found Love (Feat. Calvin Harris) [Extended Mix]
nyimbo zitakazokuwemo kwenye album hiyo  








2.kutoka bongo ni sauti ya jogoo ya Nikki Mbishi
hii albam inatarajia kushuka sokoni tarehe 26/11/2011 (leo)


album cover ya sauti ya jogoo
kwa taarifa zaidi kuhusiana na albam ya sauti ya jogoo chek:www.mlabrecords.com

beef kati ya Ludacris na Drake lachukua sura mpya

Big Sean,Drake and Ludacris
Drake


Drake na Ludacris




rapa DRAKE wa young money, amejibu matusi yaliyoimbwa na Luda criss kwenye track yake mpya ya badaboom ambapo Kwenye track hiyo, Luda japo hajawataja majina aliwadiss drake na big sean kutokana na kelele zao walizokua wanapiga kwamba kawaibia style yao ya kurap na kuitumia kwenye track yake ya my chic bad.
Baada ya hiyo track ya diss ya Luda kutoka juzi kupitia mixtape yake, big Sean alijibu kupitia interview na kusema Luda ni mmoja kati ya marapa wakubwa sana na anaowaheshimu ambapo Muda mfupi baadae pia drake alimuandikia big sean kwenye twitter kwamba, natamani hawa marapa wakongwe wangeacha kutufatafata, sasa nani nitakae muamini mwaka 2012, hakuna hata mmoja, hata mimi mwenyewe sijiamini… alisema drake ambae kuhusu kuibiwa stile na luda, amesema sio kwamba hamheshimu Luda, “ila stile yangu ya kurap ni marapa wachache sana wanaoweza kuflow nayo, na ninachukia sana marapa ambao hawaiwezi alafu wanaing’anga’nia” hiyo ni kauli aliyoitoa DRAKE akihojiwa MTV.
Beef yao inazidi kukua sasa hivi baada ya Ludacriss kuwachana mwishoni kwenye video yake mpya, ambapo amesema hamna vyeo vyovyote kwenye huu muziki, wakati mwingine mkiwa na chakusema kuhusu mimi, nifate iwe uso kwa uso na sio kwenda kuandika kwenye twitter..




source:http://millardayo.com

unapofikia kuwa busy kiasi hiki ni balaa

ni hatari sana unapokuwa busy mpaka kufikia kurahisisha mambo katika hatua hii.....

yalaiti lyrics - Mwana FA & Linah

Linah

mwanaFA             




keeping good music alive that is my job
My sunshine my moonlight and everything i dream about

Linah let's go

(Chorus)
Yalaiti napenda pasi kifani,
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa i love you (repeat chorus)

(Verse:1)
Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa
Wakisema me siwagusi natingisha kichwa
Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla
Si ulishasomw nakupenda acha masihara
Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila
me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela
Una matatizo yako najua
Na me yangu boo
With together from this moment
We will sue them through
Nikukosea nisute,nipige vibao nizodoe,
Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie
Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo
Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo
Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili
Ukinikumbuka iwe kilio
Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na
biashara na wewe

repeat(chorus)

(Verse2)
Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe
Ushaangaliwa niunge tela
Usingoje mpaka uambiwe
ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe
Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta
Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita
Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali
Na moyo wangu nitapenda bila kujali
Hata marefa wana timu zao mama
Hupanga matokeo
pambano lianze
washajua goli ngapi ngapi leo
Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche
Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote
Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata
kila utakachouambia
Nahitaji yako mapenzi
Napata picha yako kwanza
Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza

(Bridge)
Linah:toa shaka na wasiwasi moyoni*2
Kukuepuka ilo haliwezekani
ntakushika leo na kesho peponi

repeat(Chorus)




yalaiti video

unanijua unanisikia lyrics - MwanaFA


Kwenye track hii ya Amy b

(Verse:1)
ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi
maskini jeuri ni msemo tu
Usiuweke kwenye akili
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa mzuri
Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu
Na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji uamke mkuu
Me na make money mchana na make money usiku
Iwe kwa tai au kwa jeans me naingiza mkwanja tu
Naingiza mkwanja na jua na naingiza totoro
Mwenzangu sio unazbagua me sina nazo mgogoro
Begi mgongoni na ramani kama mzungu
kabla hujafika ulipo nshafaham my next move
Pesa ni rock me ni roho
Wana wa long time ago
Uwezi kutuachanisha
Waliodei wote wanafall
Mikuki imepotea farasi wanarudi wenyewe....
Wale waliopanda wakati wa kwenda wanaomba wafufuliwe

(Chorus)
(Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamic nyingine
unanijua unaniskia)*2
Punch line zinafuatana
unanijua unaniskia
punch line zinaongozana unanjiua unaniskia punch line zimegandana
unanijua unaniskia
 So usinipigie makofi mikono utachoka

(verse:2)
Inakera kujua majibu na watu hawayulizi kutu
We unajua sie hatujui ila kaa navyo vyote kutu
Maisha kama ubao ila ayaandikwi kwa chalk
Siwezi kukupa vyote ujue na kwangu zimebaki
Mimi ile mitego ya mission na mission kabla ya kudanja
Ya kwanza kuwa na mkwanja na ya pili kuwa na mkwanja
Namweka mungu kwanza dunia inashindwa nivunja
Nusu haramu nusu halali
Upande shehe na upande ninja
Kila bosi na bosi wake
Kama mnyonge na mnyonge wake
Mola alikupa punje na punje akawapa wengine hakutaka unyanyaswe wala
unyanyase watu wake..
Alichokupa me hakunipani vyetu tutumie wote
Ukipata nusu ina maana umekosa nusu
Na tuseme ya mpoki au masanja we hayakuhusu
Ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki
Hivi navyotaka iende
Huu wimbo ni man respect

repeat(chorus)

Unanijua unaniskia *2

(verse:3)
Sina mjadala na ujinga sina nafasi ya kuuweka
Umri unasonga sina muda
Mvi znasogea zitafika
Sipunguziki mimi kama bei za supermarket
Tuna uzito tofauti kama wa shuka na blanketi
Naisafisha sabuni ndo inisafishe maungoni
So usininyooshee kidole
We ni mchafu zaidi ya mimi
Wenzako hawaombi wanashukuru
Wanapenda walichopata
Omba samaki upewe nyoka
Omba upewe usichotaka

repeat(Chorus)

mulika mwizi lyrics - Kidum ft Sana


Kidum na Sana

 
verse 1
Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia
Jua ya kwamba ameguswa pahali
Sio rahisi si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi
Hapo zamani nilidhani mwanaume akipoteza kazi ndio chungu ndio unyonge
Kumbe mapenzi ndio  sumu kali inayofanya mwanaume kulia
Kama mtoto kama kibogoyo

Bridge
(Habembelezwi anyamazishwi machozi yake inatoka ikienda tumboni)*2

Chorus -Sana
Mulika mwizi (mulika na tochi mulika)
Mulika mwizi (kama kuna giza mulika  nimulike mwizi)
Nasumbuka nataka kujua nan mwizi wa mapenz

Verse 2
Kwa barua pepe kwa simu ya ndundu ujumbe mfupi unafutwa na sekunde
tatu(sekunde tatu)
Nilimpenda beb wangu nikampea roho yangu amechukuliwa amenyakuliwa
Jamaa fulani hapa mtaani mwenye magari na mapesa
Amechukua beb kanifanya crazy

Bridge
(Sibembelezwi sinyamazishwi machozi yangu inatoka ikienda tumboni)
Usiombeleze unamjua huyu jamaa
Nikajifanya bubu wengine vipofu
'
Mulika mwizi jamani nimulikie mwizi
Nimulikie mwizi
Unasumbuka nataka kujua nan mwz wa mapenz nan mwiz wa ma

Ukiona beb wako anaingia kwa bafu na simu mkonon huyo ni mwizi (mulika mwizi)
Ukiona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba (mulika mwizi)
mulika mwizi

Ooh ooh
Nimulikie mwizi jaman mulika mwizi
Nionyeshe niambie ni wapi nimulikie mwizi
waniuaaaa mulika mwizi waniumiza mulika mwizi

Kila mtu mwizi wa mapenzi
Mimi pia mwizi wa mapenzi

mida ya kazi lyrics - Dullayo


Dullayo



Aah Mida ya kazi
Mpenzi acha niwai kazini..

(verse 1)
Usijali mama kesho mapema ntarudi mimi
Nakukumbuka nakukujal nakuthamini
Kuna wengi sana wapo kama mimi
wanapenda sana wawahi kazini
unadhani mpenzi bila ya kazi tutakula nini
Huku mjini shazi wote tayari  nangojwa mimi hunlove
 Kuna wengi sana wapo kama mimi
wanapenda sana wawahi kazini
Unadhan mpenzi bila ya kazi tutakula nini
Uku mjini shazi wote tayar nangojwa mimi
 hunlovee mida ya kazi hunloo
mida ya kazi mpenzi wacha niwahi kazini

(chorus)
Najua umenimisi acha kwanza niwai kazini
Nikirudi ntakukisi ngoja kwanza niwahi kazini*2
Ooh ooh Mida ya kazi (mida ya kazi)
 mpenzi acha nwai kazini

(verse 2)
Najua mpenzi wangu unanipenda
 najua mpenz wangu unanijali
Lakini mpenz bila ya kazi ntaishi vipi
 acha nifanye kazi kesho mapema
ntarudi mimi
Eey mwenzako nikichelewa hata pesa ntakosa
 ona navyopigiwa na bosi ananiita

Mida ya kazi *3

Mpenzi acha niwai kazini
Eiiye eeiye eeiye mida ya kazi*3

Beb beb beblove you beb

(repeat chorus)

(Mida ya kazi ngoja kwanza niwahi kazini)*3
moja ya products za mida ya kazi          

kevOO

matokeo ya Uefa Champions league 23/11/2011

 
 
 
  • Arsenal 2-1 Dortimund
  • Lervekusen 2-1 Chelsea
  • Barcelona 3-2 Ac Milan
  •  Valencia 7-0 Genk
  • Shakhtar Donetsk 0-2 Fc Porto
  • Marseille 0-1 Olympiacos
 
 

jana majogoo wa jiji wakawika usiku wa saa 1

hatimaye jana wale watoto wa darajani jana wakalala kwa kigoli kimoja ...teh teh bwawa la maini likawa ndo limemaliza mpira kwa ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya chelsea a.k.a ze blues.....katika uwanja wa stamford bridge....na tarehe 27 ni ze Kop against watoto wa mjini manchester city..another tough game...

pia juzi kulikuwa na mechi nyingine kati ya

 Norwich city 1-2 Arsenal

Everton  2-1  Wolverhampton

Manchester city 3-1 Newcastle united

Stoke city  2-3 QPR

Sunderland 0-0 Fulham

WBA 2-1  Bolton Wanderers

Wigan thletic 3-3 Blackburn Rovers

Swansea City 0-1 Manchester united

pia jana kukawa na mechi kati ya

Tottenham Hotspur 2-0 Aston Villa





pia leo usiku kutakuwa na mechi za UEFA champions league 

ratiba ya UEFA champions league

Matchday 5 :

22 November 2011
22 November 2011 - UEFA Champions league, Group stage (Group B)
 
CSKA Moskva
18:00
Lille
Referee: Pavel Kralovec (CZE) – Stadium: Luzhniki Stadion, Moscow (RUS)

22 November 2011 - UEFA Champions league, Group stage  (Group A)
 
Bayern
20:45
Villarreal
Referee: Markus Strömbergsson (SWE) – Stadium: Fußball Arena München, Munich (GER)

22 November 2011 - UEFA Champions league, Group stage (Group D)
 
Lyon
20:45
Ajax
Referee: Jonas Eriksson (SWE) – Stadium: Stade de Gerland, Lyon (FRA)

22 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group D)
 
Real Madrid
20:45
Dinamo Zagreb
Referee: Alan Kelly (IRL) – Stadium: Estadio Santiago Bernabéu, Madrid (ESP)
22 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group A)
 
Napoli
20:45
Man. City
Referee: Damir Skomina (SVN) – Stadium: Stadio San Paolo, Naples (ITA)

22 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group B)
 
Trabzonspor
20:45
Internazionale
Referee: Martin Atkinson (ENG) – Stadium: Hüseyin Avni Aker, Trabzon (TUR)

22 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group C)
 
Oţelul Galaţi
20:45
Basel
Referee: Tom Harald Hagen (NOR) – Stadium: National Arena, Bucharest (ROU)
22 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group C)
                                      
Man. United
20:45
Benfica
Referee: Cüneyt Çakır (TUR) – Stadium: Old Trafford, Manchester (ENG)


                                                           23 November 2011

23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group G)
 
Zenit
18:00
APOEL
Referee: Felix Brych (GER) – Stadium: Petrovski Stadion, St Petersburg (RUS)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group H)
 
Milan
20:45
Barcelona
Referee: Wolfgang Stark (GER) – Stadium: Stadio Giuseppe Meazza, Milan (ITA)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group H)
 
BATE
19:00
Plzeň
Referee: Kevin Blom (NED) – Stadium: Dinamo Stadion, Minsk (BLR)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group E)
 
Leverkusen
20:45
Chelsea
Referee: Viktor Kassai (HUN) – Stadium: BayArena, Leverkusen (GER)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group E)
 
Valencia
20:45
Genk
Referee: Tony Chapron (FRA) – Stadium: Estadi de Mestalla, Valencia (ESP)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group F)
 
Marseille
20:45
Olympiacos
Referee: Nicola Rizzoli (ITA) – Stadium: Stade Vélodrome, Marseille (FRA)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group F)
 
Arsenal
20:45
Dortmund
Referee: Frank De Bleeckere (BEL) – Stadium: Arsenal Stadium, London (ENG)
23 November 2011 - UEFA Champions League, Group stage (Group G)
 
Shakhtar Donetsk
20:45
Porto
Referee: Craig Thomson (SCO) – Stadium: Donbass Arena, Donetsk (UKR)

hep 1st 40 days beb Germana

leo ni siku ya arobaini toka auncle wake Kiriku azaliwe....hep first 40 days beb Germana ..auncle Kiriku lovs you much..pia Hongera kwa twin bro vigras ''Mwikombe'' na mama Germana may God bles your family.

auncle wake Kiriku ''Germana'' akiwa amelala


Lil Germana
 auncle Kiriku a.k.a kevOO