mdananda lyrics by Shetta ft Dully Sykes,Tunda ma


(chorus)
Nimeamini apangalo mola hawezi pangua yeye ndiye anayejua
laiti ningejua jinsi alivyokuwa nisingejisumbua kumchukua
Mbaya sitaki
Twende dhihaki
we si rafiki
mbaya sitaki
nasema sitaki
sitaki yuhaki
mnafiki rafiki gani mdananda

(verse)
anapenda ku'bang anakazi huyu jamaa, na ma'star kadhaa wenye jina ndani ya Dar
si nikajaa mi mzawa wa Dar na nikaachwa kwenye mataa
Nashangaa namba zake nimezidiwa mang'aa mashaka alikuwa kando
Nilihisi mchizi Bonge la mwana, ah Kumbe mgambo
Vitani hawezi kushika zana, ah kweli kufa kufaana\
Nimeamini ya leo sio ya Jana {kweli ya leo sio ya jana}
Vizuri kufa na Ujana, ila Life ya dunia ni tamu sana
hizo sekunde na dakika bora zingerudi nyuma
niwe bonge la bitozi hata salamu ningeuchuna
Mbio zimegonga ukuta, kusanuka kishanuka na matuta nimeruka nimeanguka siwezi tena nyanyuka
hata, hata shabaa alinitonya wewe ni rafiki bar
nikapuuza kwakujua na mzawa wa kitaa
ghetto la darstamina pia nikalitaa nilihisi kama nabanwa
si ni wewe nilikulea ukiumia na'feel pain
utetezi juu yako kama jeshi la UN
Ulidaiwa sikusita kukulipia madeni
leo iweje uniingize mkengeni

(chorus)
Nimeamini apangalo mola hawezi pangua yeye ndiye anayejua
laiti ningejua jinsi alivyokuwa nisingejisumbua kumchukua
Mbaya sitaki
Twende dhihaki
we si rafiki
mbaya sitaki
nasema sitaki
sitaki yuhaki
mnafiki rafiki gani mdananda

(verse)
Nilikuwa ndani ya ghetto na'settle mipango ya kesho mara ring ring
kucheki alikuwa mwana, story ilikuwa hivi nanukuu Michapo
"mwanangu sio siri una zali la mentali
kuna binti mtaa wa pili anadai anakukubali
anasema nyimbo  zako unajua panga mistari
Tajiri, hatari wekaa tuchume mali
isitoshe ana figure matata hana dosari
hata leo tukienda atakuhonga hata gari
kifupi sijajivunga na pozi zilikimbia
ghorofa nilionao mnyamwezi nikajitupia
pe..pendo ulikuwa faster kama goli la feste
tuliishi kwenye bungalow sio nyumba za gesti
shida nilizishinda hata kwa manji navimba
kumbe nimepewa goma limepiku si..
yule dada mwathirika nimetumika bila kinga
na mchizi alishajua nnapotimba nachinjwa

(chorus)
Nimeamini apangalo mola hawezi pangua yeye ndiye anayejua
laiti ningejua jinsi alivyokuwa nisingejisumbua kumchukua
Mbaya sitaki
Twende dhihaki
we si rafiki
mbaya sitaki
nasema sitaki
sitaki yuhaki
mnafiki rafiki gani mdananda




ichek video hapa

MR NICE AONGELEA ALICHOKUTANA NACHO NDANI YA SIKU 14.




Siku 14 baada ya kuamua kuiuza sauti yake tena kwa watanzania katika single mpya ya ‘TABIA GANI’ iliyomrudisha baada ya ukimya wa miaka saba, Lucas Mkenda MR NICE ametibitisha kupitia millardayo.com kwamba mialiko ya showz aliyoipata mpaka sasa ni zaidi ya mitano, na kilichomshangaza zaidi mingi imetoka nje ya nchi.
Nchi zilizomualika Mr Nice baada ya single mpya ni Kenya, Rwanda na Burundi, na kwa upande wa Tanzania amepata showz kadhaa za mikoani ila ameshindwa kuzikubali mpaka atakapo itambulisha rasmi tabia gani kwa wakazi wa 88.4 Dar es salaam japo tayari ana mialiko ya Songea, Mwanza na Arusha.
Sababu nyingine inayomfanya ashindwe kuikubali hiyo mialiko ni pamoja na kusubiri kwaresma ipite kwanza, ambapo amesema “mapokezi ya hii single yamekua makubwa na kunishangaza, kweli kila mtu alikua anatamani kuona Mr Nice amerudi, nimekua nikipata simu nyingi wengi wameisikia Club, mwingine wimbo wako ndio ringtone yangu sasa hivi, kwa hiyo nimefurahi sana, najipanga tu kikazi, sasa hivi nina meneja zaidi ya mmoja, nina personal manager wangu na kuna mwingine anashughulika na mambo ya masoko tu, kuna mambo mengine ukiniuliza hata siyajui, hiyo ndio kazi yao”
http://millardayo.com

mwali wa carling ni wetu the Kop



baada ya kukoswa koswa hatimaye mwali akawa wa the Kop....

proudly kuwa fan wa liverpool

Ukisikia Paa lyrics - JCB ft Fid Q, Chidi Benz

 ahhh...ahhhh
 ohhh yeahhh..(shhhh!).. it\'s the remix
 (shhhh!)...JCB.... (ahhhh!).....Murder..!
 (Tongwe Records Babyyyy)

 Verse 1 (JCB)
 Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA,
 Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar,
 Sio polisi sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini,
 Amini usiamini akabaki tu na mimi,
 Akanishikia bunduki kwa chini,
 Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini,
 Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini,
 Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini,
 Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki
 Akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi,
 Kavaa koti jeusi jasusi,
 Mikono nikaweka juu kuepuka nukx huku natukana mengi matusi...

 (Chorus )
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
*2

 Verse 2 (Fid Q)
 Wanasema hugeuka mnyama sana anaposaka pesa
 Cha ajabu anavuta bangi lakini hawazii magangstar
 Hampaki rangi donkey ili ageuke kuwa zebra
 Ndo maana kabla hajaikoki, JCB ali-surrender
 Akajifanya hayuko na mie ili niipigie defender
 Nikaona vipi nijistukie ghafla nikasikia \'\'RASTA\'\'
 Jambazi linaniita halafu sioni wakuni-backup
 Hali inatisha sikuongea nilishut the fluck up
 Akaniuliza.. we sio Fid Q yule anayeheshimika mtaani ?
 Nikamwambia ndo mimi na huu ndo muda wa kumlaani shetani
 Sie wote ni watoto wa mjini siamini vipi hatujuani
 Mie alwatani kama Kwere au Chindo popote amani
 Akaniambia.. waambie machizi i\'m sorry, leo mna-rap wapi ?
 Mie sio mtu wa stories, i make things happen
 Hii sanaa ni ya watengwa na ngosha...
 Ukisikia Paaaaaaaa........ ujue imekukosa

 (Chorus)
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa

 Verse 3 (Jay Moe)
 (aahhh!) Alipogundua ni wasanii,haraka haraka akatuacha
 Ndipo tulipomsihi,na watu wengine kuwaacha
 Maana ishakuwa msala,na mashahidi nyuzi washavuta
 So muda wowote defender,toka hivi sasa itafika
 Bora usepe..kuliko kupewa kesi ya mauaji
 Au kesi ya kujaribu,kupora kwa kutumia mkwaju
 Hakuna mwenye mzigo,waambie wenzako mme-boogie
 Na wala hatuna kimango,usione mezani kinywaji
 Achana na mambo ya leo,wapi tunapiga show
 Pigia wenzako simu,waambie huku ni soo
 Hakuna mtu wa madini,sema ni kina jaymoe
 Kabla haujaishia mikononi,kwa gorvo..au you know !
 Ile anaanza kuchomoka tu,polisi washawasili
 Nikasikia mikono juu..kwa sauti ya ukali
 Kukimbia akala ya mguu,akasalimu amri
 Akanyoosha mikono juu

 Chorus
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
*2
 Verse 4 (Chidi Benz)
 Hata police ni mdili na ndo mchongo ameupanga..
 Na ndo yeye wamemtuma jukumu lake kuwa mwanga...
 na ile paaahh!! Kama Suka kama kulenga mchanga
 Mwisho wa siku mahesabu watu wakacheze fanga
 Mchezo kamili ulishapangwa yaliyopita ni historia...
 na maneno kaa ya kwenye kanga ya hesabu nishatulia
 Wa kucheka wamecheka wa kulia wamelia
 Nchi bado haikufea so hamtochoka kusikia
 Michezo kama hii kurudia ninajua walala hoi
 Wamechoka vumilia...yeeahh
 Damu zitamwagika kwa wema na wasio wema...
 na imani ya mkabaji ulichokimeza utakitema
 Kuna movie ila maisha ka cinema
 Unyang\'anyi na uchukuzi unaoatokeo kila nikihema ...(hema)
 Wanasema ukila nyama....lazima utake tena..
 na kweli macho kwa maneno ya viongozi wanaosema
 Ni vigumu kutumkia kabla tonge kuingia
 So anytime tuwe tayari kuumia....yeeahh
 Ni vigumu kutumkia kabla tonge kuingia
 So anytime tuwe tayari kuumia....yeeahh

 Chorus
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
 Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
 Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
*2


kama by mike tee




(Verse1)
Mawazo kichwani  sawa na tamthilia ya kusadikika
 kuwa na magari majumba yasiohesabika
Niweze ishi maisha ya iringa kama nipo amerika
sababu na mkwanja nngemuoa mtoto malaika
nngekuwa mrefu kwenye mkapu ni patashika
nngewapa madunk yale yakukata na shoka
nngechora tattoo kichwani nywele nngesuka
kuonyesha msisitizo Kiswahili kisingesikika
nngependa kuongea lugha ya asili nilikotokea
gangi njombe ugonile si unainyaka
mistari yangu verse kinyakyusa nngeandika
na kufanya lugha yangu kisanii kutambulika
maisha yangu yangekuwa hadithi kihesa mpaka isoka
mpenzi wangu angepata kile anachokitaka
fedha ingeongea sauti yangu ingesikika
shikamoo mzee nngepata kwa kila rika
wapambe nngekuwa nao wasiohesabika
hata niongee upumbavu makofi yangesikika
nngefanya uhalifu polisi nao wasingenishika
kunako mahakama mshiko wangu ungetumika
vyombo vya dola sheria za nchi nngeshika
nembo ya taifa bongo recods ingetumika
watoto wadogo mic lazima wajue kushika
lakini yote hii ni kama
(Chorus)
kama mike tee nngekuwa star
kama ningekuwa na mkwanja kachaa
kama ningekuwa ni mrefu na mkwanja kachaa
iringa town ningekuwa balaa
*2

(verse2)
Kama ninge kama ningekuwa mimi star
Hakika jina langu kila mtaa lingezagaa
Anzia ngazi ya shina ,tawi mpaka mkoa
Vibanda vya mc katuni vyote nngebomoa
Na watu wangenipa sifa nyingi za marehemu
Na kuonekana kama nusu mtu nusu mazimu
Mademu wangesema ‘’mike tee we handsome’’
Hata kama uso wangu una makovu kila sehemu
Nngenunua benzi sita zote za rangi ya blue
Mkata majani wangu asingetembea kwa mguu
Msela akitaka jiti me namkatia blue
Nakuonyesha mambo yangu ni safi usawa huu
Kwakuwa na mkwanja hata mungu angesaulika
Huku kuingia peponi  nngekuwa na uhakika
Kwa kujipa moyo mbona natoa nyingi sadaka
Jina langu siku  ya mwisho halitasaulika
Kwa mbumba kachaa aah ntakuwa nasifika
Kinyalu mdomoni  hakika hakitanitoka
Kama kutosa me ntasema kudaga
Na ntajenga kilabu kikubwa cha pombe dabaga
Na ntapeleka muswada bungeni ulanzi uitwe lager
Uuzwe supermarket za bongo na hata za Canada
Watu wapate mshiko wanyalu waache kudaga
Music awards za mtoni zifanyike dabaga
Ntajenga trade center za nguvu tanangozi
Mabinti wote wa kinyalu wasome waende kozi
Hili wapate ujuzi waache ubabaishaji
Ila yote ni kama


(Chorus)
kama mike tee nngekuwa star
kama nngekuwa na mkwanja kachaa
kama nngekuwa ni mrefu na mkwanja kachaa
iringa town nngekuwa balaa
*2
(Chorus)
kama mike tee nngekuwa star
kama nngekuwa na mkwanja kachaa
kama nngekuwa ni mrefu na mkwanja kachaa
iringa town nngekuwa balaa
*2

EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC




Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists, which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.

Rose Muhando is undoubtedly one of Africa’s biggest selling and most acclaimed gospel artists, with millions of fans throughout East Africa and her home country Tanzania. The gospel diva has now been signed to a multi-album recording deal with Sony Music, and a fullservices management deal with Sony Music and ROCKSTAR4000.

Sony Music Entertainment Africa views the continent of Africa as a highly important music development frontier and believes that some of the best talent in theWorld is currently creating and performing music across the continent. Sony has set its sights on becoming the primary partner of the best Africa has to offer and has high hopes that with its assistance, African musicians can achieve new Pan African and Global success.
“We’re so excited about the wealth of talent we are discovering literally daily inAfrica.” says Managing Director of Sony Music Entertainment Africa Sean Watson. “Rose is a magnificent example of the level of talent we mean to invest in. Her gift is quite extraordinary and we are very proud to be her partner. We count her alongside us as a pioneer of a new era in African music.”

 'Its a new and exciting time for amazing talent and music from Africa to shine and we are thrilled to have a star like Rose as part of the family and to represent Rose through the next chapter of her very successful career' said Jandre Louw, CEO of ROCKSTAR4000 Music Entertainment.

‘I am thrilled and honored to be working with great African talents. Rose Mhando is a new addition to this roaster of clients that embodies what Rockstar 4000 believes and stands for. She is an Iconic local Tanzanian brand that we will develop to become an International brand’ added Christine Seven Mosha, Music and New business of ROCKSTAR4000

Rose was so excited and thanked God for all he has blessed her with.

Rose Muhando was born in 1976 and was raised in Dodoma, Tanzania. On being deathly ill, Rose converted to Christianity and it was this move, her leading the choir at her local church and her meeting Nassan Wami that prompted her first album recording.

Today Rose lives in Dar Es Salaam where her career has flourished over the last 10 years.  To date, Rose's first album shattered sales records, selling over 5 million copies. She currently has her second album (JipangeSawaSawa) out, which has already sold well over 1.3 million copies.  The magical voice has not been restricted to Tanzania and she has toured extensively across the African continent, covering cities in Kenya, Mozambique, South Africa, Malawi. Congo, Uganda. Rose has also been well received in the United States.
Usiku wa KIKOSI CHA MIZINGA New Maisha Club na kuzinduliwa wimbo mpya (Serikali). Wasanii watakao sindikiza show hiyo ni pamoja na Zolla D, Toz wa Mbagala, BuiBui, Serius Manizle toka Btown na wasanii toka Kikosi Rec akiwemo Dzee na wengineo. 
Itakuwa jumapili hii ya tarehe 26 kiwanja cha burudani New Maisha Club>>>>>>Usikose
(block 41ers)

UJIO MPYA WA JENNIFER MGENDi NDANI YA ANGA YA MUSIC WA KIROHO.







Salaam nyingi ziwafikie wapendwa.
Naamini kwa neema ya Mungu mmeuona mwaka. Mimi pia, namshukuru Mungu.

Nachukua fursa hii kuwajulisha nilipo na ninapokwenda kwa mwaka huu na naomba  kama kawa muwafikishie watanzania na wasomaji wenu kwa ujumla mambo haya. Natanguliza shukurani zangu za dhati.

DHAHABU
Hii ni albamu yenye mkusanyiko wa baadhi ya nyimbo zangu za zamani kama vile Nini?, Nimrudishie nini Bwana, Nitafika lini?, Mbona washangaa njiani. Ulinipa sauti na nyinginezo ambazo zilitamba miaka ya 2001 na kurudi nyuma hadi mwaka 1995. Albamu hii tayari ipo madukani katika mfumo wa audio cd yaani ni ya kusikiliza. Maandalizi ya video hii yanafanyika na panapo manajliwa mwezi Agosti itakuwa imekamilika.

TEKE LA MAMA
Filamu hii ipo maddukani na imewashirikisha watu mbalimbali kama Bahati Bukuku, Christina Matai, Senga, Lucy Komba na Godliver a.k.a Bibi Esta. Sio filamu ya kukosa kuangalia na uzuri wake unaweza kuiangalia ukiwa umetulia na familia yako bila kuwa na wasiwasi wa kuanza kuwatuma watoto dukani ili wasione picha chafu.

SHEREHE ZA MIAKA 15 YA HUDUMA
Panapo majaliwa na Mungu, natarajia kufanya tamasha la kusherehekea na kumshukuru Mungu kwa miaka 15 tangu nianze huduma ya uimbaji. Tamasha au sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika tarehe 05 Agosti, 2012 katika ukumbi wa Landmark Hotel.Video ya album ya Dhahabu itazinduuliwa siku hiyo pia.
 Maandalizi ya tamasha hili yanaendelea na litapambwa na waimbaji mbalimbali watakaoimba live siku hiyo. Sio siku ya kukosa na wote wenye mapenzi mema wanaombwa kujitokeza kwa wingi. Tutaendelea kuhabarishana kuhusu tukio hili kadiri siku zinavyoendelea.

ALBAM MPYA
Maandalizi ya album mpya yanaendelea moyoni lakini rasmi kabisa yataanza mara baada ya tamasha la mwezi wa Agosti na album hii mpya inatarajiwa kuingia sokoni mwezi Aprili mwaka 2013, tukijaliwa uzima.

Ni hayo tu ndugu zangu nawatakia siku njema. Nimeambatanisha picha.

like movie star by chid benz


Bi Cheka ft Mh Temba - Ni wewe (Official Video)


happy birthday Jesse and bro Xric


Jesse
unatakiwa b'day njema na kelvin kwa niaba ya kibabra.blogspot.com mdau Jesse
Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio na furaha..
happy birthday x'xulmet v fun out there bg boy


Chris

pia my big brother Chriss John ''Sanga'' Msigwa teh teh najua leo wakurya full kukupikia ugali mkubwa sana na nyama za kumwaga...wish ungekuwa huku ila sio tatzo popote ulipo as long as tunazitafuta
happy birthday THE SHORTEST ATTORNEY blesd loong life brother

propaganda lyrics by FidQ ft Marco Chali




Song:PROPAGANDA
Artist:Fid Q ft Marco Chali
Producer:Marco Chali
Time:
Year:2011

(Chorus:Marco chali)
Polisi wanasapoti gangsta rap ‘’ili uhalifu uongezeke’’
Wabana pua kuimba mapenzi ‘’je itafanya ukimwi usepe’’
Media zinapromoti beef ‘’wanadai zinakuza muziki’’
Wadau wana wasanii wabovu ‘’nyie wakali mtatoka vipi’’
Hizi ni PROPAGANDA usiuliza ni nani?ili iweje?
Hizi ni PROPAGANDA utaibiwa ukicheza blanda
Yule last king of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda

(Verse: 1-Fid Q)
Machungu unapozimwa ili ufunikwe na  asiyeweza
Mbaya zaidi wanampa promo halafu kwenye  show umemmeza
Hautaki kuwa tatizo maana unaweza tatuka
Uwezi jua wapi nitatua ka jiwe gizani likitupwa
Wanaficha ili ili nisione wakati tayari nishajua
Hamkomi igeni nione jinsi msamba mnaupasua
Hivi mnaishi ili mle au mnakula ili muishi
Kumbuka a small leak will sink a ship
Mazingira hatarishi mabwana afya wana mapesa mob
Uswazi tunaomba mvua zinyeshe ili tutapishe vyoo
Ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka
Na ukivote in hurry ujue unatengeneza corruption
Maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka
Ukipewa usisahau ukitoa toa bila kukumbuka
Usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi
Amini kesho itafika kama ipo ili uipate
Tunachukiana kwasababu tunaogopana
Tunaogopana kwasababu hatujajuana
Hatujuani kwasababu kwasababu tunatengana
Dunia ni nzuri walimwengu hawana maana

(Chorus:Marco chali)
Polisi wanasapoti gangsta rap ‘’ili uhalifu uongezeke’’
Wabana pua kuimba mapenzi ‘’je itafanya ukimwi usepe’’
Media zinapromoti beef ‘’wanadai zinakuza muziki’’
Wadau wana wasanii wabovu ‘’nyie wakali mtatoka vipi’’
Hizi ni PROPAGANDA usiuliza ni nani?ili iweje?
Hizi ni PROPAGANDA utaibiwa ukicheza blanda
Yule last king of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda

Verse:2-Fid Q)
Polisi huniita me mzururaji na wanajua me ni Mc
Kasha hunipa ishara kama wanavuta uradi kwa tasbihi
Baya lisilo nidhuru ni jema lisilo na faida
Nashkuru kote nasikika napotoa haya mawaidha
Kuanzia kata,tarafa,wilaya.mikoa hadi ngazi ya taifa
Nikifa siachi skendo nina uhakika nitaacha pengo
Kwa hivi vina hata wakulima hujikuta wanameza mbegu
Pia ni kama Liberation struggle machoni mwa chegu
Ukiwa mkali kama marco chali raia watafeel tu
Wajinga ndo hufa kwa wiv sababu hawako real tu
Rafiki sio urafiki usipochanganywa na kazi
Mlango sio mlango mpaka ufungwe au uachwe wazi
Haupaswi kumuamini muongo hata kama akiongea ukweli
Ni dhambi kutumia dini kama njia ya kututapeli
Wanajiingizia kipato kwa kivuli cha misaada
Hawatufunzu tuwe viongozi labda  viongozi wakuwafuata
Utata uja tunapoanza kuwachunguza
Badala ya kuwafuata ndipo siri zinapovuja
Tunajenga tabia kasha tabia zinatujenga
Ukishindwa kujiendesha ujue mwenyewe tu ulipenda
Kama umevutiwa na asali jiandae kukwepa nyuki
Huwezi kumtisha kwa mawe adui aliyeshika bunduki
Ni uchunguzi tu wa kisayansi ambao haukufanikiwa
Kama ule wa ng’ombe kula nyasi tu halafu anatoa maziwa


HAPPY BIRTHDAY BRO RONALD FLEX MAN BIG THE DEULY SON

birthday boy Ron

blog ya kibabra inakutakia maisha mema kijana

KHADIJA KOPA AWEKA WAZI KUHUSU MALIPO YA SHOW ZAKE MWAKA JANA!


Tayari tukiwa tumezivuta zaidi ya siku 50 toka kuanza kwa mwaka mpya, Malkia wa muziki wa taarab Khadija kopa ambae mwaka jana alipiga showz nyingi sana nje na ndani ya Tanzania, amekubali kutangaza kiasi cha pesa alicholipwa kwa show za nje na idadi ya showz zenyewe.
Khadija amesema “nimefanya show nyingi sana zaidi ya 70 Tanzania na nje ya Tanzania mpaka nimeumwa, kwa ulaya kama Uingereza, Ugiriki, Holand na kwengine na kote huko kwa show moja nalipwa dola 2500 na huwa napunguza mpaka dola 2000″
mwanamama Khadija Kopa akiwa nje ya gari analolimiliki
Khadija ameweka wazi kwamba “muziki umenifanyia mambo mengi mpaka sasa, ndio nautegemea kwenye kila kitu , nina kibanda changu wanangu wanakaa pale Zanzibar, na kuna nyumba nyingine sijaimaliza iko Znz, nina vigari vyangu viwili Mitsubish na Noah, na ninatembelea Noah, nina mwanangu anasoma private anasoma form five, kula yangu mpaka wazazi wangu nawalisha kwa kazi hii hii”
Showz 20 za nje ya nchi alizofanya kwa bei ya dola elfu mbili kila moja, ameingiza zaidi ya shilingi milioni 60.

source:millardayo.com

angalia wimbo mpya wa wakali wa BSS


SONG: AMKA CHEMKA                    
ARTIST: WAKALI WA BSS ft CHEGE
VIDEO: KALABANI                            

Minafanya lyrics by Cyrill Kamikaze ft Jux

SONG:MINAFANYA
WRITTEN BY KAMIKAZE
ARTIST:CYRILL KAMIKAZE FT JUX
PRODUCED BY MANECK
STUDIO A.M RECORDS
WAKACHA ENT.


CHORUS
MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,
MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe
MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie
MINAFANYAA IYEA YEA,OOHW OWOHW *4

 VERSE 1:
Nipo kwenye tour mkoa minafanya shows,
ila vumilia mamii wala usiumie roho,
unavyo kosa raha kwangu moyoni inakua soo,
napata maumivu kila nikiwaza jinsi ulivyo.
unajuta kuwa na mimi ni sababu ya matatizo,
kazi nazo fanya ngumu yani hazina ata likizo,
ila jua nachofanya maa ni kwa ajili yako
na nimesimama imara kulitunza penzi lako.
niko busy na hii album studio nina vocals
narudi usiku sana wakati mpenzi hauko macho,
asubuhi nakwenda mtaani bado umefunga macho
na hustle ili life nyumbani iwe nzuri.
nakumiss natamani hata leo nirudi home
ila bado mikoa kumi natakiwa ku perform,
kama umeni miss sana just play my songs
ukiwa alone ntaku ntakukiss through the phone..

CHORUS
MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,
MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe
MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie
MINAFANYAA IYEA YEA,OOHW OWOHW *4

VERSE 2:
Na interview kwenye tv na interview kwenye gazeti
na interview kwenye radio kuhusu tour na hii project,
bado sijasahau nitakuwepo kwenye birthday
na promise baby mama ntakufanya we uwe happy,
najua niko busy sana hilo sikatai ila sitaki kua sababu yakukufanya we u cry,
japo mina try siku zote kua goodboy nikupe mapenzi ya ukweli yani daily u enjoy,
shillingi siichezei kwenye tundu la choo listen ma niko nawe everywhere i go,
ni pete yako mkononi inanifanya ni kumiss more and you already know so we mwanzo na mwisho,
niwe wapekee umechukua nafasi special usinione michosho
juani nikitoka jasho na fight na maisha yawe mazuri na kesho,
nimekuweka moyoni na hii nyimbo ni dedication..

CHORUS
MINAFANYA nipate ata japo kidogo nile mimi nawewe,
MINAFANYA nafanya kazi ngumu kwa mtaa sababu ya wewe
MINAFANYA EEH nitarudi nivumilie,
MINAFANYAA IYEA YEA, *2
OOHW OWOHW*2

OUTRO yeah its your kid cyrill a.k.a kamikaze i gat ma boy jux on this one,
its cmb wakacha in the building,i see you maneck holla..


 source.page ya Cyrill Kamikaze on facebook


angalia huo wimbo hapa ni video mpya kabisa 

Angalia nyimbo Zilizoleta usumbufu katika mahusiano ya wahusika hivi karbuni



Stil a lier ya Wahu
Ilifanya magazeti mbalimbali nchini Kenya yaripoti kuwa ndoa yake na mwanamuziki mwingine mkubwa nchini Kenya Nameless iliyojaaliwa mtoto mmoja wa kike kuwa imevunjika, habari ambazo wenyewe walidhisibitisha kuwa sio za kweli

 
Na video ya mawazo ambayo ilisababisha vyanzo kadhaa vya habari nchini Tanzania viripoti kuwa mwanamitindo na muimbaji  mwanadada Jokate Mwegelo kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa mbagala Diamond ambaye kwa wakati huo alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo na mwigizaji  mwanadada Wema Sepetu

sikiliza kwa makini nyimbo hizi mbili then nisaidie kujua ni kufanana kwa idea ya wimbo au mmoja kacopy kazi ya mwingine?

nyimbo ya x-maleya kutoka Cameroon

production imefanywa mwaka 2009


na Timbulo kutoka Tanzania

production imefanywa mwaka 2011

Kwaresma njema wadau



Blog ya Kibabra inawatakia wakristo wote duniani mfungo mwema wa kwaresma…tuwe wema tuishi katika wema…tujifunze kutowakwaza wenzetu kwa kusudi na kujizuia mabaya katika kipindi hiki kitakatifu.

Bonta abadili jina



jana baada ya kuachia ngoma yake inayoitwa "matusi" ameamua kuachana na jina lake aliokua nalo tangu mwaka 98 na kuanzia sasa anapenda kujulikana kama MAARIFA na si bonta tena.
Source: djfetty.blogspot.com

Pole wadau Bernad Malakasuka na Twalib Nassoro




Blog ya kibabra inatoa pole kwa mdau na rafiki mkubwa Bernard Malakasuka kwa kufiiwa na baba yake mzazi jana katika hospital ya rufaa ya jijini Mbeya, msiba upo kwa marehemu mzee Malakasuka maeneo ya uzunguni, jijini Mbeya na pia mtangazaji wa generation fm  ya Mbeya na rafiki mzuri wa kevO_o, Twalib Nassoro kwa kufiwa na mama yake mzazi
Inallilah wa inallilah rajroon..AMEN