Goodbye by Big Jay P ft Jim JaYSong – Goodbye ,,,Big Jay P ft Jim JaY
{Chorus by Jim Jay}
Kwanikupendavyo uwoni
Kusema nikuache alone
Nikunibabesha mzigo nisio uweza mgongoni
Umechange sio kama mwanzoni
Sikuizi mwili upo sokoni
Kwanini wakati nikupendaye nipo come on,
Baby why why why– you say good bye bye bye
Tell me why why why – you make me cry,cry,cry  {x2}

{Vers 1 by Big Jay P}

Kama love love silikuwa fresh sana
Kama cash nilisaka usiku na mchana
Ili we mababy nikutunze jamaa
Kwasababu nilikupenda nikakutambulisha
Mon na ses wakasema tutaowana
Love na masham yakazidi sana
Nikawa happy kwa mapenzi safi
Cheko alikukauka pale ulipo tekenya kitambi
Ulifanya mema wala hukushiliki dhambi
Wakaniita baro kisha nashine na penzi lako
Sikulinga kisa nimevona penzi lako
Nilikuheshim na nikalinda hisia zako
{Chorus by Jim Jay}
Kwanikupendavyo uwoni
Kusema nikuache alone
Nikunibabesha mzigo nisio uweza mgongoni
Umechange sio kama mwanzoni
Sikuizi mwili upo sokoni
Kwanini wakati nikupendaye nipo come on,
Baby why why why– you say good bye bye bye
Tell me why why why – you make me cry,cry,cry

{Vers2 by Big Jay P}
Umebadilika sio kam zamani
Huuni kitaani wamekushusha dhamani
Kichwa chako kimejaa moshi wa sigara kali
Michezo atari ujali ata ukimwi ah
Naulizwa maswali nani kakubadili akili
Ata home uwonekani
Nina stess za mapenzi na umia moyoni
Umefanya usiku nisilale umekwenda kule
Clabu unazunguka kama vile msukule
Unauza penzi sanyengine unatoa bure
Love kwangu zilikuwa tele
Nilikuwa real sikugombana nawewe
Nilifanya dili nikirudi uchekelee
Niaje ukanimwaga mama weee
Niaje uka sepa mama wee
Aje ukaondoka mama wee

{Chorus by Jim Jay}
Kwanikupendavyo uwoni
Kusema nikuache alone
Nikunibabesha mzigo nisio uweza mgongoni
Umechange sio kama mwanzoni
Sikuizi mwili upo sokoni
Kwanini wakati nikupendaye nipo come on,
Baby why why why– you say good bye bye bye
Tell me why why why – you make me cry,cry,cry x2

(bridge)
Yeee penzi safi lilikuwa ilimeingia doa alitoki ata ukifua
Dawa haupo Homa yamapenzi naugua
Upweke moyoni wanisumbua
Nilikusamini zaidi ya yote nilitaka niwe nawe siku zote
ila ukanitosa bila kosa lolote

TENA MUSIC FOREV
BIG JAY P ft JIM JAY
Studio - MPELI BEAT - from{INDIA} producer Abe Don Q
And
Studi - BOKAZY ENT from {TANZANIA} producer Man DvD