Siku hizi hatulali by Cyrill {Kamikaze} ft Chege

Damn im a party monster, huwaga silali kila club chata
kila siku kwangu mi ni bata, ukinifuata, utadata
kila siku mi ni happy day, hey hey happy day
kila siku mi ni full shangwe, hey hey full shangwe

kama billionaire, kwenye counter
kama msukuma wa Mwanza anavyopanga chupa
tunatumia sababu tunazo, ubaki nyumbani kazia kwa kodi za mawazo
mabata boys wapo nyuma wanaunga huu msafara
tuna'locate viwanja tukajitoe kafara, uhhh
huu mziki umeshageuka biashara
kama we unafanyia sifa basi ujue unapata hasara
jombaz pusha, tushawatema
tulianzisha mstari wa mbele wakazima mapema
watu wazima bado tuna'control
aka nightmares mpaka six in the morning!

Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata
Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata

hili bata limesimama hapa
we hapo huwezi bia then huwezi bapa
hatufanyi starehe man tunajiachia
maisha ni mafupi sana so tunasherehekea
mifuko umelegea, imetoboka usitufuate
jua umenufakisha baki ulipokaa
hapa ndo makao makuu ya kula bata TZ
wengine wanafuata wengine tubaki mbize
hatulali tunakuaga busy
tunawinda wale madem wanapenda business
hatulali tunakuaga busy
tunawinda wale madem wanapenda business
ni kama tym ya ku'pop them bottles
tuna'party tuna'boogie tunasimamia shows
watu wazima bado tuna'control
aka nightmares mpaka six in the morning!

wale wa leo,
wale wa leo
twende tuka'party


Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa bata
Siku hizi hatulali, check it up, kamikaze mtu mbili we
Siku hizi hatulali, tunakesha kesha kesha kwa batautanikumbuka lyrics by Sumalee


Mama wee muongo sana wee
utanikumbukaa muongo sana wee
Mama wee mama wewee muongo sana wee mpenzi wewee
utanikumbukaa muongo sana wee mpenzi wewee

(verse1)
Mbele ya mahakama ukweli umeupindisha
hivi umensahau umejisaulishaa
...
Kelele za huu umri bado nimekufikisha
au kama ringtone umenibadirisha

(bridge)
kusema ukweli wako kwa mpenzi wako
hautansahau mie maishani mwako
kusema ukweli wako kwa mpenzi wako
hautansahau mie maishani mwako
Farasi umpandae hakutishi kwa mbio zake
Farasi umpandae hakutishi kwa mbio zake
(chorus)
Mama wee (mama wewee) muongo sana wee (mpenzi wee)
Utanikumbukaa (utanikumbuka) muongo sana wee mpenzi wee
Mama wee (mama wewee) muongo sana wee mpenzi wee
Utanikumbukaa (utanikumbuka) muongo sana wee mpenzi wee

(verse2)
Mdomo unena kile ambacho nacho jisikia
Nafsi yako hutaman kile unachopumua
Ulikuja huku full kunwal kwa raha zako unwal
ona ulivyonawili
Ntakukumbuka kwa ubaya kwa uzuri

(bridge)
kusema ukweli wako kwa mpenzi wako
hautansahau mie maishani mwako
kusema ukweli wako kwa mpenzi wako
hautansahau mie maishani mwako
Farasi umpandae hakutishi kwa mbio zake
Farasi umpandae hakutishi kwa mbio zake
(chorus)
Mama wee (mama wewee) muongo sana wee (mpenzi wee)
Utanikumbukaa (utanikumbuka) muongo sana wee mpenzi wee
Mama wee (mama wewee) muongo sana wee mpenzi wee
Utanikumbukaa (utanikumbuka) muongo sana wee mpenzi wee

Mama wee mpenzi wee
Utanikumbukaa mpenzi wee
Mama wee mpenzi wee
Utanikumbukaa mpenzi wee……..till fade

pete lyrics by Ben Pol

Verse 1;
Hadithi ya penzi langu umenikata nini mwisho
huthamini huoni pendo lako nalihitaji leo kesho
nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka
mchana na usiku mimi, nishawahi kukosa 
nasema niliteseka mchana na usiku mimi 
nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka
mchana na usiku mimi, sitaki tena kosa 
najua nitateseka 
mwisho sitokuwa nawe tena naulizaa

Chorus; 
Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni 
ni kama pendo langu , linakuchoma moyonii ,
bora kuitoa aaah aah ,
pendo kulivua aaah ,
bora kuitoa ,
moyoni mwangu mi nisiteseke
bora kuitoa aaah aa ,
pendo kulivua aaah ,
bora kuitoa ,
moyoni mwangu mi nisiteseke

Verse 2;
sikujali wambea wanafki walosema 
hatutadumu mimi nawe tutajaachana 
wakiniona siko nawe si ndo watasema 
hata nyumbani watajua tumefarakana 
nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia 
maana bado nakujali ,kwako nilishatua 
nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia 
maana bado nakujali ,kwako nilishatua 
kila jema n'tendalo mie ,kwako limekuwa sio 
nitakapo kujua ulipo ,wanijibu utakavyo 
pete kidoleni mwako ,yanisuta mwenzio 
ndo maana nikukosapo ,moyo wanienda mbio

Repeat Chorus till fade

siri ya penzi lyrics by Shaa

eeh siri ya penzi uvumilivu
ukiwa na hali we utaaribu
Haki yake mtendee
akikosa msamehe
Yakipita yamepita mgange yajayo
Siri ya penzi eeeh kuheshimiana
Achana na jeuri
achana na kibuli
...

siri zake mlindie
Mali zake mtunzie
Hadharani chumbani niamini mwenzio

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie

Ukishikwa masikio na wasiokutakia mema wee utapotea
Aah aah
Maneno ya nje sumu sio kila jirani mwema
kuwa makini aaah aah aaah
Siri ya penzi ooh kutifichana aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie

Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Ooh
Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Siri ya peeenzi

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Siri ya penzi ooh kutifichana aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah

Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie