mtima wangu by Amini and Linah


(Amini)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
(Linah)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe

(Amini)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
(Linah)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe


(Amini)
Naomba tujifunze kupenda kusiwe na doa
Ningeweza kukufunga kamba ingekuwa poa
Usiruhusu kura za ndio mimi si mgombea
Na mapenzi hayagawanyiki
Ukigawanya umejitakia
(linah)
Hakuna nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa hakuna tunalala tunakuamka
Tulilinde penzi letu mbele tusonge
Tizilinde ngome zetu sumu isipenye

(Linah)
Nimekukabidhi moyo wee wangu wee
Na ukifate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we

(Amini)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe
(Linah)
Umutima wange ni wewe
Umutima wange ni wewe

(Amini)
Nisikauke kwako moyoni
Uvishinde vishawishi mama
Wenye pesa watasaka wakipata wanaambaa
(LInah)
sitakauka kwako moyoni
Nitavishinda vishawishi haya
Pendo lako lanishika kamwe sitatoka

(Amini)
Ugomvi mdogo usizalishe malumbano
Tuzishinde chuki na fitna zikiwemo
Angu angu wele apo nengepende na wewe
Saulo nitakutenda nelo nasiwaza narunduro
(Linah)
Angu angu we apo me nepende na wewe
Saulo nitakutenda nelo nasiwaza narunduro


Nikikosa unisamehe na ukikosa nikusamehe
Nikikosa unisamehe na ukikosa
(LInah)
Hakuna nachokosa nimejitolea hata kufa
Japo pesa hakuna tunalala tunakuamka
(Amini)
Tulilinde penzi letu mbele tusonge
Tizilinde ngome zetu sumu isipenye

(Linah)
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
(Linah)
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we
(Amini)
Nimekukabidhi moyo wangu wee
Na ufate kile nisemacho wangu wee
Ukipinge kibaya nitendacho wangu we

(Amini)
Hakuna hakuna kama wewe
(Linah)
Hakuna hakuna kama wewe

kuwa na subira by Rama dee ft Mapacha


(verse:Rama Dee)
Utaambiwa sina mapenzi uuh c’mon
Utaambiwa sina mapenzi utaambiwa si mwaminifu mimi
Utaambiwa sina ubinadamu kwenye mapenziiii
utaambiwa sina muhimu kwako
Style yangu si kuoa ni kucheat mademu si kweli mpenzi
utaambiwa sina mapenzi ooh

(chorus)
Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi juu ya penzi lenye pendo letu

(verse:mapacha)
Ebu chukua maamuzi we mjuzi mkufunzi
acha hizo ni makuzi upuuzi
Jinsi naishi ni kama star kwenye muv
Tumeshashare vingi ukikataa ni mzushi
Tukae chini hili balaa ni uvumi
Chuki tuliikataa inayumbisha hadi uchumi
Ebu kumbuka furaha na vitu vya msingi
Madai na majigambo vita huyumbisha ligi

(verse:Rama dee)
Utaambiwa nipo tu hapa mtaani nagangaa tu njaa
Utaambiwa me mhuni sina klazi mama
Kila nachopanga nachofanya juu yako mpenzi
nachofanya juu Kila nachopanga
Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi juu ya penzi lenye pendo letu

(verse:mapacha)
Maujanja saplayaz
Nasisitiza msimamo usiumbishwe na maneno
watu wengine wanaongea midomo yao michafu
Ukanihukumu ukaniona kama mi mkavu
 na malengo juu yako mimi si mpumbavu
Upendo wa dhati sitaonyesha dharau
Sikudanganyi hii nataka ufahamu
Mapenzi ya kweli jua uongo ni hatari
Wacha tuwe na amani ya watu achana  nayo

Wayo wayo
Jitahidi mpenzi c’mon ishi na mimi
Juu yako
Jitahidi mpenzi kuwa na subira
Jitahidi mpenzi kuwa na maamuzi juu ya penzi lenye pendo letu


me and you by Ommy Dimpoz ft Va
(verse1)
Huna skendo wala maringo
Acha nijidai jidai jidai ai ai 
Kwa wako upendo
wengine kando
Tupendane tufurahi furahi furahi
Tabia na mwenendo
Mpaka kwa vitendo
Ukiniacha me ntadie ai ai ai
Ooh maji ya shingo nimefika ukingo
 kweli I don't lie ie ie

(chorus)
ooh tubabajoro eeh baba ee
afyenga afyenga
Tumefika leo kwasababu yako baba
tubabatoro eeh baba ee
 i thank God  i thank God  
Tumefika leo kwasababu yako baba
Ooh me and you
Ooh me and you
Just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
wherever me and you

(verse2)
Penzi lake ulimbo
Tabia nzuri na umbo
Mpaka najihisi  nafurahi
Pesa kwake sio fimbo
Hadanganyiki na bingo
Wengi kawatoa nishai
Nimeshamwimbia na nyimbo
Ye dereva me utingo
Kunipenda me sishangai
Chumbani mjuzi wa mambo
Ye ndio ala me chambo
Akinipa sikinai


(chorus)
ooh tubabajoro eeh baba ee
afyenga afyenga
Tumefika leo kwasababu yako baba
tubabatoro eeh baba ee
 i thank God  i thank God  
Tumefika leo kwasababu yako baba
Ooh me and you
Ooh me and you
Just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
just me and you
Ooh me and you
Ooh me and you
wherever me and you

my everything by Ali kiba


(verse1)
Ilikuwa usiku wa jana asubuhi ilipoamka nikajikuta na furaha isiyo kifani
Kidogo nilistuka simu ilipoita nilipokea nikasikia analia
Akashindwa hata kuongea nikaisi msiba ndio umefika
Akauliza umelala ooh baby nalia na mola
 nimeshateswa na penzi nakosa hata raha
nahisi vibaya naona nakupenda sana

(chorus)
Uuh baby you’re my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina you’re my everything my everything
Tunapendana kwa sana you’re my everything my everything (your my everything my everything)
She’s my everything you’re my everything my everything
my everything my everything

(verse2)
Mwili anavyojiona kama yupo paradise
Anasikia raha mwili wake nikiushika
Haitaji stress tena anataka tu furaha
Na me mwendo ule ule sitaki mwangusha
Maumivu hataki tena ooh baby hutojuta kupenda
Hata mimi mapenzi ooh baby yashanitesa sana
We lia na mola walimwengu wakiweka husuda
Mchana nalala usiku nafanya ibada

(chorus)
Uuh baby you’re my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina you’re my everything my everything
Tunapendana kwa sana you’re my everything my everything (you’re my everything my everything)
my everything you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
La mujer de mivida we kila kitu
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything
you’re my everything my everything.........

nishike mkono by Darasa ft Winnie(intro;Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono

Nishike mkono

(verse1)
Mwili kama unavidonda ukinigusa tu naumia
Kichwani mzigo wa dhambi gunia kwa magunia
Dunia sinia pakua unachoweza
Rudisha kwenye njia walimwengu washanipoteza
Mpaka leo mwanangu yupo magereza
 mtoto wa jirani anasomeshwa uingereza
baba ake athumani amekufa mvuvi wa pweza
wana utajiri wa imani masikini wa kifedha
Washanichimbia kaburi wanizike nahema
Washakata miti ya kivuri mifereji ya neema
Unaeza kuta unaemwamini ndio anakuwekea sumu
Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhumu
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea

(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono

(bridge:Winnie)
kumekucha nipo njia panda sioni hata pa kuelekea
na kiza ndio kinatanda niendako nani wa kunipokea
nishike mkono nishike mkono
 nishike mkono nishike mkono
 nishike mkono nishike mkono mkono

(verse2)
unajikuta uko peke yako giza kubwa kwenye mtaa
huoni ndugu wala jamaa uliokuwa nao jana baa
mawazo ya karaa nafsi inakosa raha
upepo mkali na baridi bila koti la kiuvaa
unauliza mungu yu wapi akuonyeshe njia
kelele za uchungu na hakuna anayekusikia
usitamani kiatu changu ukikivaa hutembei
ikiwa siku mbaya ndio masaa hayatembei

(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono

(verse3)
imagine maisha ya mtoto bila ya mzazi wa kumlea
nambie ndoto za wangapi mtaani zimepotea
imagine mzazi wa lulu maumivu aliyojibebea
sometime tunaishi nje ya malengo tumejiweka
kifuani kama kuna moto moyo wangu unaungua
maumivu nayoisi usitamani kuyajua
nashindwa kupiga hatua muoga nasua sua
maji yakiwa shingoni ndio tunakumbukaga dua
nashindwa kuchagua kati ya mvua na jua
kuna kitu kimemis nawaza kukigundua
natamani kuwa mtoto kibaya aiwez kuwa
vazi la dhambi nilovaa halitakati hata nikilifua
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea

(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono


i wanna get paid by Pah One


 NAHREEL:
Okay, I been trying everyday like i run the earth fate
Aint tryna be you, aint tryna be fake
dream chasing, paper chasin, keep it real all day
daily making world records, F the haters say Am all about the money, couple biz are running
my city and my hunny, DSM is like Miami
So i wanna get paid coz we don’t do this for charity
We always keep it real we don’t follow the majority

OLA:
Oky I wanna get paid when u see me get west
money over Everything see me get rest rest rest
Aint no mercy you in the loosing field I'm on a winning jersey aaah
I need to pay the bill mama need a house so I need to get a deal aaahh
Shiaaa money is the motive O.L.A Pah One the future peace 

Chorus
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new wheel.
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new ride.


AIKA:
I got more time paper chasing and nah no timing your shilling,
I got more time making money and yeah more time for ma prayers,
I got more time for ma people aint giving shi* about haters
I got the crown mi queen mi run the street LOLO….. Am an independent gal way hotter than hell mi huwashika ka spell dada does it ring a bell? I act like a lady but i think like a man. That`s why i work so hard cz i wanna get paid.

IGWEE:
 Habari to masela this time I want to sell
Is D boy in the building Boy where the money at?
Coz we work so hard Ball till I fall hustle till I die
In my mind feel I made it shiaa I made the ladies go crazy everybody crazy
now Keezy put me right here I swear gat money every where boy I run the street!


Chorus
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new wheel.
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new ride.


Uuuuuhhhhhh uuuu alright alright alright x4

SHREKEEZY
Highly opinionated, This shi* sophisticated Money and me related,
so my time is never wasted And sleep is over rated,
thats why at times I hate it Some chics I ever dated,
I regret I ever met them since life is a bi**,
mine is a gold digger She on my neck daily demanding another figure
Yeeeeah! IWGP I wanna get paid and get a house in DC


Chorus
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new wheel.
I wanna get paid, I wanna get paid,
I wanna get paid, I get myself a new ride.

 Damnnn

nataka lyrics by Godzilla ft Marco chali


Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
Aah Mukide mukide shikide shikide
verse1:
Waiter leta mitungi mpaka asubuhi nakunywa siyumbi
Basi Waiter leta mitungi mpaka asubuhi nakunywa siyumbi
Nipeni beer na marco chali
Usijali nje mecome na gari
Vumbi inatimuka basi njoo uone
Kwasa kwasa mpaka till in the morning
Mambo yako pouwa kila kitu bwana mukide mukide
Na tungi juu moja chini shikide shikide
Beeftao yupo na walter
Kwenye viwanja zilla uwezi nikosa
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
Aah aah aah
verse2:
Dondosha shampagn na gin counter nimeclear nipo safi sina deni
Dondosha shampagn na gin counter nimeclear nipo safi sina deni
Watoto wamepandisha mori
Hizi ndio zetu tukikuudhi we are sorry
Hapa ni tungi badala ya tungi
Usiku mzima busy tunasaga mirung
Mkono wa kushoto ni bg g na soda
Nahitaji jon walker nimeshaweka order
Angusha ilo bapa here we go tungi haliishi limejaa kwenye stoo
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
bridge:
Nipo nipo nipo kwenye party
We ukibaki hapa me nasonge pale
Nipo nipo nipo kwenye party
We ukibaki hapa me nasonge pale
Waiter leta leta monde leta
Waiter leta leta monde leta
chorus:
Nasema aaah aah aya ya ya ya ya
aaah aah aya ya ya ya ya
Utanitaka kusomeka viwanja vyote na sehemu zenye bata
Cheza na manzi yangu lakini usivuke mipaka
Ukijifanya mtoto wa mbwa sie wenyewe mbona watoto wa paka
Aah aah ha ha
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo ooh hapa hapa
Njoo Chaa leta monde leta
Njoo Chaa leta monde basi leta
Zila zila zila marco chaaaali
Zila zila zila marco chaaaal

usipime by wateule

verse1
Jafaryhme Jafaryhme mtaalamu
Na muziki wa kiteule unaenjoy ngoma hii 
chek unavyoswing underground king
Yote tunafanya we nt scared of anything
Everlast ilibonga namna hii 
Hatuwez kuwa sawa tofauti si na hawa
Boom Tunaporudi sisi wanapagawa
Sisi ndio wazawa
wakali wa hii sanaa bongo watasanda sisi bado tunatawala
Nisikilize mimi na takwimu za huu mziki muziki wa kiteule ndio unabang sana street
Wanakubali hadi masnitch na hisia hazijifichi
navyotokelezea lazima mkae kwenye kiti
W.A.T.E.U.L.E kila tunalofanya sisi hatufikii
W.A.T.E.U.L.E basi tunatisha zaidi ya HIV
CHORUS
Hii kivingine wateule ikisimama usipime
Kwa mara nyingine ebu check navyochana usipime
Ebu chek si tunavyovaa tie macho bado wanna fill alryt
watu ni kubang mchana mpaka night
muziki kwetu damu bado tunafight

verse2
superman 
Miaka zaidi ya kumi kwenye game
kundi bado linadumu
Wengi wameshacame
Kumaintain ndio walishindwa
Daaamn bila wasi tunabang
Individual tuna shine
in the house back again
Kwa tungo we shut them down
Ni bure hata ukija na mzani u can't test us
Wateule ndio mabingwa wa hii fan they cant beat us
Zaidi ya john k
Zaidi ya john kaduma zama za asali na pain tichaz
Kwa mfano vina kama mlimani tunatema tu lecture
Usipime huu muziki
Miaka nenda rudi haufi
Bado tupo kwenye chat na kuswat tupo safi
Game ipo kwenye damu tunapread tu virus
Maambukizi ya hizi rhymes zaid ya
Game ipo kwenye damu tunapread tu virus
Maambukizi ya hizi rhymes zaid ya demu wa ambiance

CHORUS
Hii kivingine wateule ikisimama usipime
Kwa mara nyingine ebu check navyochana usipime
Ebu chek si tunavyovaa tie macho bado wanna fill alryt
watu ni kubang mchana mpaka night
muziki kwetu damu bado tunafight
Verse3
Taikuni ally
Mjini shule basi walimu ni wateule
Hata walimu wakigoma si tunawafundisha bure
Wateule wote vichwa kila mtu ni ticha
Mteule mmoja ni kam
Mteule mmoja ni kama ana vichwa tisa
Watu tunaelimisha usiku hata asubuhi kukicha
Na tukifeli usiku mchana tunafanikisha
Hatunaga ushamba wala ujanja wa kuiga
Hatuchani kama 50cent wala
Hatuchani kama 50cent wala hatuchani kama jigga
Muziki wetu wa kiutu uzima mafundi wa kumimina vina vina tunavidandia utadhani si ni vina
Abrakadabra wa kwanza sisi nyie mtafuata baada ya kumaliza sisi
Solothang jmo na mak malm jafaryhmes kevn kimar na mch
Solothang jmo na mak malm jafaryhmes kevn kimar na mchizi mox

CHORUS
Hii kivingine wateule ikisimama usipime
Kwa mara nyingine ebu check navyochana usipime
Ebu chek si tunavyovaa tie macho bado wanna fill alryt
watu ni kubang mchana mpaka night
muziki kwetu damu bado tunafight
Kivingine wateule ikisimama
Usipime muziki umekomaa muziki umeenda shule
Usipime usipime usipime usipime usipimeeeeeeeeee

abacus by Wakazi

Uugh
(Verse 1)
Why me, lyrically na flo ka mto wami/
Wanajihami wakiniona komandoo, one man army/
Power to annoint, like magic I play the point/
I work miracles like jesus, just to prove a point/
Believers turned doubters, and doubter believe us faster/
Than the weak hearted that leave us just after/
They faith is tested, leavin em cadiac arrested/
To latter be in peace well rested/
Lyrically I'm the body soul and spirit/
If I scream alluh akbar, you just don't hear it u feel it/
Like on ma head blood of jesus is spillin/
Like crude oil in nigeria, where they speakin in pidgin/
Niliowapita shuleni wote ni ma lawyer na madaktari/
Ila mi nimeweka nguvu zote kwenye kutunga mistari/
Ndo maana kila wimbo nnao utoa ni mkali/
Some doubtin maybe I sold my soul to the iluminati/
Nah kid...

(Chorus)
I'm movin mathematically like Abacus/
Anytime I can take you to war like spartacus/
Put you on the edge of the sword, on yo eusophagus/
Hip Hop frontline, mi ndo naongoza msafara/

Wakazi, swaggabovu nigga/
This is the essence of Rap, go figure/
Ithe return of the boom bap
And lyrical Work Ethics/
Bilingual Beast, Witness Somethin Epic/

(Verse 2)
I'm makin ma moves mathematically/
Every step is more of a calculated stategy/
Take it back to the essence, yes alphabetically/
A to the B  A C US emphatically/

Nawajengea picha kwa udongo Mfinyanzi wa rap/
So maana moja ikikushinda run to the other chap chap/
Yeah the aesthetics of metaphorical wordsmith/
U aint gotta watch for metaphors only, but wording/

This is what hip hop looks like minus the fake swagga/
Naingia ubia with your concisious kama safari lager/
Kisha naugawanya mara mbili, real and the fake one/
In addition I multiply your awareness, this is math son/

Natumia nyezo za miraba ku solve mistatili/
Ka trapeza hapa mistari imelala kiumahiri/
Hata nikisali, bado ninasali kimahesabu/
So utatu mtakatifu, ni swali kazi jibu/

(Chorus)
I'm movin mathematically like Abacus/
Anytime I can take you to war like spartacus/
Put you on the edge of the sword, on yo eusophagus/
Hip Hop frontline, mi ndo naongoza msafara/

Wakazi, swaggabovu nigga/
This is the essence of Rap, go figure/
Ithe return of the boom bap
And lyrical Work Ethics/
Bilingual Beast, Witness Somethin Epic/


(Verse: 3)
Fundi wa maneno, nimejipanga kama namba/
Mi ni mlima wa volcano kwa wanaojisifia wao miamba/
Nawalisha sumu nanyi taratibu mna ilamba/
Lyrically I make ya clear the room, kama nimejamba/

Wali doubt uwezo wangu, kabla ya mixtape ya kwanza/
nikatoa "Blazed" series, wote wakanyamaza/
I dropped the second one, wakadai haijawabamba/
So I welcomed them to heartbreak, ndo mapenzi yanaanza/

Real mathematician, lugha zote mi natisha/
This is hip hop, mi ni kama Langa nai Wakilisha/
U witnessin greatness, na hamwezi kubisha/
Kwa stanza namwaga Sera, kisha nasepa shaaa/

Lyrically commit murder With no probable cause/
A Rebel of course, Ukonga's Finest, they Labeled me boss/
Higher than a cockpit, Huwezi level hii cross/
Plus in savin hip hop they be countin me for it/

(Chorus)
I'm movin mathematically like Abacus/
Anytime I can take you to war like spartacus/
Put you on the edge of the sword, on yo eusophagus/
Hip Hop frontline, mi ndo naongoza msafara/

Wakazi, swaggabovu nigga/
This is the essence of Rap, go figure/
Ithe return of the boom bap
And lyrical Work Ethics/
Bilingual Beast, Witness Somethin Epic/


Repeat Chorus........

money by AY ft V

money money money money
I like my money
I like my money 
I like my money 
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Money money money
Money money money
Spend money money make money money
I like my money more money

(verse1)
Mzee wa commercial nasema na hii inayofanya vitu visiwe free
Viswe free visiwe hivi siku zote tupo tupise tupo tupise
Natafuta hili niweze kutumia sizifungi hili mbele ziweze kusalia
Ila kutumia sekunde unayozania mambo msingi yapo kamilia
We tembea wenzako wanakimbia
Usikate tamaa uko usije ukapotea
Kaza mkanda acha kusanda
don’t play saka mkwanjwa hakuna ujanja
Kuvuna ujanja kuvuna ujanja

(chorus)
Money money money
I like my money
I like my money
Spend money money make money money (my money)
Spend money money make money money(my money)
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Spend money money make money money
Money money money
Money money money
Spend money money make money money
I like my money

Sicheki na pesa ntakuchukia
Sicheki na pesa ntakuchukia
Sicheki na pesa ntakuchukia
Sicheki na pesa ntakuchukia

(verse2)
Lakini kuna kazi na dawa jipe raha hata kwenu si sawa
Si vibaya piga hata mbili lakini usije geuka kero yakakukuta mabaya
Nenda mdogo mdogo moja moja si kwa pupa bwana mdogo usije ukaumbuka ukajajuta wakat muda ushapita
Ukachapika na wakati wengine washainuka kimaisha so akili kumkichwa
Ingawa shida hazina mwenyewe tafuta usisubirie upewe
Usiruhusu wakurudishe nyuma zidi jitume unyonge tena kwako hakuna

i like my money
money
i like my money
money
......till fade

Dear God by Kala Jeremiah

Intro:
Rock town records
Dear God let me to talk you
cause am in jungle God
I need your help
I watch my back
I see myself!!


Verse:
Asante Mungu leo ni siku nyingine
nakuja mbele yako baba nina ombi jingine
Baba wewe ndo kimbilio sina tena mwingine
si unacheki sina furaha kama watu wengine
Wengine wanakula bata na kusaza zingine
mimi bado niko ziro na masela wengine
Pengine labda umesisahau au umenichoka pengine
lakini hapana we sio kama viumbe wengine
Uliniumba wewe baba sio mtu mwingine
tena mimba yangu ililelewa na baba mwingine
Baba alikua busy na mademu wengine
nimeshamsamehe mwambie ana mtoto mwingine
Mwambie nampenda sana sina baba mwingine
mwisho wayote mlaze pema kama watu wengine
Tukiachana na hayo nina mambo mengine
baba mziki wangu ndio tatizo kubwa jingine
Nachana sana promo wanapewa wengine
wengine wanasema niende kwa mganga pengine
Lakini mi nimebatizwa kama wakristo wengine
naijua Biblia zaidi ya vitabu vingine
Mungu wa islael Mungu wa mataifa mengine
Mungu wa Yakobo Mungu wa Isaka Mungu watu wengine
Usikie kuomba kwangu unipe njia nyingine
Naombea watoto mayatima na wenye shida wengine
Wananchi maskini na tabaka jingine
Mungu baba tupe neema kama nchi zingine
Watembelee mafisadi mmoja baada ya mwingine 
wakumbushe kula kwa jasho kama watu wengine
Ona mpaka nasahau mengine
baba ajira zipo chache hawapati wengine
Vijana wanakula unga hawana kazi nyingine 
dada zetu wanajiuza wengine
Pengine labda ndio sodoma na gomora nyingine 
wanaume sikuhizi ni mashoga wengine
Wanadai haki zao kama haki zingine
wanaandamana hadharani mataifa mengine
Wanaoana kwa harusi kama ndoa zingine
tuachane na hayo masuala nina swala jingine
Hivi ni kweli umewatuma manabii wengine
maana kila kukicha kuna kanisa jingine
Huyu nabii na huyu ni nabii mwingine
huyu anaponda na huyu anampinga mwingine
Wanahubiri kuhusu pesa sio kitu kingine
toa ndugu toa toa ulichonacho kingine
Mungu nionyeshe njia nioneshe ishara nyingine 
yapo mambo mengi tu siwezi taja mengine
Hata demu wangu nahisi ana mshikaji mwingine 
mana kabadilika kawa kama yule mwingine
Niliyemfuma live akiwa na boya mwingine
nisamehe dhambi ya kuzini sina dhambi nyingine
Mwokozi wangu niongeze pesa zingine
rafiki zangu niongeze tena wengine
Wawe wote waukweli sio masnitch wengine
wakuchukua siri na kuvujisha kwingine
Naombea madaktari waongezwe posho zingine 
ili usije kutokea mgomo tena mwingine
Mana walikufa watu wasije wakafa wengine
mwisho wa yote nashukuru kwa uhai mwingine
Ninajua sahizi watu wamelazwa wengine
rafiki zangu walishagongwa na magari wengine
Kama Farook Warango na machizi wengine 
mlaze pema Kanumba na rafiki wengine
Tutaonana Yesu akirudi kwa mara nyingine 
asante sana kwa baraza jingine
Japo magamba yamevuka yakabaki mengine
classic moja ina watu wengine
Wanadai nchi imeuzwa kwa jamaa mwingine 
Sajuki Vengu na wagonjwa wengine
Wanyooshee mkono wako wape Afya nyingine
Ameen!!