samboira lyrics by Benpol

(verse 1)
asubuhi tu kukicha ,mi nazianza pilika
mchana kutwa kutafuta ,nikutunze langu ua
na uzuri ulionao ,nakuacha nyumbani peke yako
roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako
na uzuri ulionao,nakuacha nyumbani peke yako,
roho inaniuma mwenzio,
natamani nishinde pembeni yako ,
mi napata homa,
njiani na watu ukisimama,
na roho inaniuma,
sokoni kurudi umechelewa.
mi napata homa ,njiani na watu ukisimama,
na roho inaniuma ,
sokoni kurudi umechelewa

(chorus)
samboira kuruse, sumuka na vyeuye kutaali(kutaali)
jichunge mama ..
katu sitopenda nikukose mpenzi wee
samboira kuruse sumuka ne vyeuye kutaali,
jichunge mama katu sitopenda ,
nikukose mpenzi wee ..

(verse 2)
ulishajua mi nakujali sana,
ndo maana moyo wangu unaniuma ,
nakuomba kipenzi chunga sana ,
maana wapo wasiopenda kutuona ,
...
wakijipitisha kutwa kucha ,
waambie kwangu umeshafika ,
usidanganyike na zao pesa ,
pamba na magari na vya kupita ..

(chorus)
samboira kuruse ,sumuka ne vyeuye kutaali
(kutaaali)
jichunge mama katu sitopenda nikukose mpenzi wee ....till fade

by BenPol .watch video

hongera kwa kunyakua TUZO kaka...your the best ...keep it up

new track my lord by Country boy ft Ommy dimpoz


Suma Lee afiwa na mama yakeMsanii wa kibao kilichoshinda wimbo bora wa Afro Pop na Wimbo wa Mwaka kwenye Kili Tanzania Music Awards 2012, Suma Lee, amefiwa na mama yake mzazi Muhimbili jana.
Mama yake Suma, ambaye alifikwa na mauti katika hospitali ya Muhimbili, alikua akiugua maradhi ya kiharusi.
Tunaiombea familia ya Suma, Faraja katika kipindi hiki kigumu,na kuiombea roho ya marehemu ilale mahali pema peponi, Amin.

matukio katika picha ya KILI MUSIC AWARDS 2012


WASHINDI WA TUZO ZA KILI

     1. WIMBO BORA WA RAGGAE
ARUSHA GOLD BY WARRIORS FROM EAST

2. WIMBO BORA WA DANCE HALL
MANENO MANENO BY QUEEN DARLIN

3. WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
DUSHELELE BY ALI KIBA

4.BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI
VIFUU UTUNDU BY A.T

5. WIMBO BORA WA TAARABU
NANI KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC ( AISHA MASHAUZI)

6. WIMBO BORA WA KISWAHILI
DUNIA DARAJA BY TWANGA PEPETA

7. WIMBO BORA WA AFRO POP
HAKUNAGA BY SUMA LEE

8. WIMBO BORA WA R&B
-NUMBER ONE FAN BY BEN PAUL

9. WIMBO BORA WA HIP HOP
MATHEMATICS BY ROMA

10. MSANII BORA ANAECHIPUKIA.
OMMY DIMPOZ (NAI NAI SINGER)

11. RAPA BORA WA BAND
KALIJO KITOKOLOLO

12. MSANII BORA WA HIP HOP
ROMA MKATOLIKI

13. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA
 NAI NAI BY OMMY DIMPOZ FT. ALI KIBA

14. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
KIGEUGEU BY JAGUAR

15. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
KHADIJA KOPA

17. MTUNZI BORA WA MWAKA
    DIAMOND

16. MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME
DIAMOND

18. PRODUCER BORA
MANECK

19. VIDEO BORA YA MWAKA
MAWAZO BY DIAMOND

20. WIMBO BORA WA MWAKA
HAKUNAGA BY SUMA LEE

21. HALL OF FAME
     TAASISI JKT

22. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI
      KING KIKII

23. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI
     DR. REMMY ONGALA

24. MWIMBAJI BORA WA KIKE
     LADY JAY DEE

25. MWIMBAJI BORA WA KIUME
      BARNABA

chek maandalizi ya KILIMANJARO MUSIC AWARDS

yatakayofanyika ndani ya ukumbi wa mikutano wa mlimani city mallna hapa chini tujikumbushe na categories
nawatakia washiriki wote mafanikio mema...
tukutane kesho mapeeeema humu bloguni kujua ipi imekwenda wapi...

new video :ndio dawa yao by gangwe mobb ft dullayo


new track:utanifaa by Grace Matata ft Wyre

We are aware of the fact that the fans of Grace have been waiting for far too long to hear her voice again. Well, the wait is over! Grace somehow managed to get Wyre —with more than a decade in the game — all the way from Kenya on this sensational song, below are the details:
Written by: Grace Matata & Wyre
Composed by: Grace Matata & Mujwahuki Kanye
Guitar by: Grace Matata
Produced, recorded and mixed by: Mujwahuki Kanye
 for M lab 2012

new video Afrika yetu by Bubere & Diana


new track :dani by NyemoSong:Dani

Written by: Nyemo
 

Composed by: Casanova & Bob manecky
Marimba by: Andrew
Produced, recorded and mixed by: Casanova
 from Future Sound Rec.

Famous lyrics by Jay Mo


bofya hapa kuipigia kura hii nyimbo

 everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

Nikipita kila sehemu ma fans wananiita jina
sura yangu wameshaikremu na sauti inajulikana
maredioni ninavyopigwa kwa tv ninavyoonekana
gazetini ninavyopamba ******najulikana

yote sababu ya umaarufu kama huwezi kuuita umashuhuri
ingawa ni wa pesa madafu  unazo faida mbalimbali
kupata sioni tough kama umaarufu u handle
vinginevyo uta'hit muda mfupi ka babu wako wa loliondo
kuna waliozaliwa nao, kuna walioupata utotoni
kuna uliowafuata wao, sio kwa magumashi ya mjini
na kuna waliopiga bao, kwa kupitia burudani kutokana na vipaji vyao
kwenye sanaa michezoni...

sio kama Zitto Kabwe na umaarufu wa kisiasa
ama umaarufu wa pesa ka wa Manji na Bakhresa
mi  umaarufu wangu ni wa mistari nayoandika
Im super famous sio kwa pamba kali nlizonyuka, Mo!

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

hehe
nimesaini autograph nyingi zaidi ya mkataba kwa form
na nimegonga warembo wengi zaidi ya nakala za mamu
labda if i wasnt famous, nisingewapata hawa madem
au pesa nyingi wangenichuna mpaka kutimiza yangu dream

celebrity mimi simple sina mbwembwe sina pozi
you see me riding solo, sina wapambe sina walinzi
wananiita role model nina ushawishi ka kiongozi
so yule model aliye nusu uchi kwenye maonyesho ya mavazi
sina umaarufu wa kishamba kila chaka kuuza sura
nimeanza kwenye nyumba sina pressure na corrola
sembuse we bajaji naeza panda daladala
makondakta mi washkaji so nasafiri kisela
mpaka raisi ananijua, nenda waulize wanawe
wasipoongea na mshua mi ntakutana nae mwenyewe
tuzo hawajawahi nigea, this year wamenigea wenyewe
baada ya lundo kunibania, ambazo nilizostahili nipewe, Mo!

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

Ukishakuwa maarufu lazima ukubali skendo
sio kila siku watasifu lazima watapiga dongo
kuna wengine hawapitishi hata wiki wamefanya jambo
na wengine wakiona hawasikiki basi hujifanya wana scandal

Juma ndo yule yule umashuhuri haujanibadilisha
ni upara hakuna nywele style ya kiduku itapita
mbele hawana habari..

with different cameras taking pictures
kwenye different red carpets super famous mi napita
mara niko northen kenya kwenye kambi za wakimbizi
umaarufu ndo unanifanya mpaka niitwe ka balozi
naenda hadi vijijini wakulima kuwafuta chozi
na ndo maana sionekani nikizama maisha na ya abuse
nishapita muongo mmoja tangu nianze kuitwa famous
sio njuka mwaka mmoja mambo mengi nimeshayaona
wengi leo wako chali na walivuma ile kinoma
jirushe kiakili kabla ryhme light yako haijazima

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous

amerudi lyrics by Belle9Amerudi
Na naaah  ooh na na na na
Ooh na na naaaaah

(VERSE)
Kwenye maisha sijawahi juta majonzi yapo mimi kuyatafuta
Uongo mwingi usiku weka nukta  majuto ni mjukuu leo naumbuka
Penzi ulilonipa lilinisaulisha mpaka nikaisi we ndo wangu wa maisha
Penzi ulilonipa lilinibadilisha mpaka nikabadili mfumo wangu wote wa maisha
Penzi nililopata kwako nilifurahi sanaaah
Furaha yangu kwako kama nipo paradise
Penzi nililopata kwako nilifurahi sanaaaah
Furaha yangu kwako kama nipo paradise(kama nipo paradise)
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Kama nipo paradise
Nipo paradise

(CHORUS)
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako

(VERSE)
Japo wengi wanakujua wewe ila tambua wangu amerudi ooh
Japo wengi wanakujua wewe ila tambua wangu amerudi ooh
Ujue utambue tayari nimeshakosea
Ujue utambue nilichofanya kwako sio fear
Ujue utambue nilichofanya kwako sio fear
amerudi
Wewe nilikuficha yeye mpaka nyumbani nshamtambulisha
Wewe nilikuficha yeye mpaka nyumbani nshamtambulisha
Japo sikualika penzi lako ila nilificha yo love (yo love)
Japo sikualika penzi lako ila nilisema I LOVE YOUUUUU baaaiby

(CHORUS)
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii najuta yote niliyofanya kwako
Amerudii Najuta yote niliyotenda baby
Amerudii  najuta yote niliyofanya kwako

(VERSE)
Kusema I love you nimekosea kukuficha sio fear
Nisamehe nimekosea nisamehe
Kusema I love you nimekosea kukuficha sio fear
Nisamehe nimekosea nisamehe
Yanabaki  kuwa siri me na ww kama tulikuwa wapenzi
Hata mkikutana msirumbane
………..TO BE CONTINUE