blah blah by Jaffarai ft Ngwair


(verse1)
Mara ooh nimekaa sana ulaya
Mara ooh naongea na Jakaya
Mara ooh eti me ni mbaya
Kumbe blah blah nyingi
kumbe blah blah nyingi
mara ooh ex wangu jaklin wolper
mtoto linah nataka kumvutia opa
(na bado unaniomba lift time ya kuondoka)
Kumbe blah blah nyingi
kumbe blah blah nyingi
mara ooh eti me msanii mkali
unajisifu ngoma nzima unajipigia mistari
na wakati huna heat ebu kwanza tafakari
izo blah blah nyingi
acha blah blah nyingi
unajifanya kila mtu unamjua
wakati mtaani kwako mjumbe hajakutambua
unaforce umaarufu watu washaona unazingua
izo blah blah nyingi
acha blah blah nyingi

(chorus)
mara ooh nshatembea na Fulani na Fulani ananitaka
unaongea sana na hakuna anayekutaka
blah blah nyingi
blah blah nyingi
blah blah nyingi
mara ooh me na nyumba mbezi naagiza Mercedes benz
unaongea sana na huna kitu mfukoni
blah blah nyingi
blah blah nyingi
blah blah nyingi

(verse2)
blah blah nying hadi kwa madingi
usione mtu ana kitambi ukadhani ana shillingi
unaweza kupigwa sound nyingi ukaingizwa king
kama wanasiasa wa sasa na vyama vingi
kila sister du eti nasoma IFM
cha kushangaza mara do namuona kila sehemu
nmeshaclem hawa mademu sitaki wa name
sitaki wa game sitaki wa fame still the same
mtaalam nasoma game
wengi wanaact kama wanacash tele
mishe nyingi famba kumbe wengi wao machepele
fake swagger
fake bling
fake swing
pisha mbele
me na keep real kama sina naongeza misele
mara ooh eti me mnyamwezi
usilete ubitozi wakati mambo huyawezi
unashinda bar kutwa kujilipia bill huwezi

(chorus)
mara ooh nshatembea na Fulani na Fulani ananitaka
unaongea sana na hakuna anayekutaka
blah blah nyingi
blah blah nyingi
blah blah nyingi
mara ooh me na nyumba mbezi naagiza Mercedes benz
unaongea sana na huna kitu mfukoni
blah blah nyingi
blah blah nyingi
blah blah nyingi

jaffarai nikubali halafu we mjanja
mwisho wa siku unagongea buku ya ganja

No comments:

Post a Comment